Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Muhongo anusa rushwa Rea mkoani Kagera

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amenusa rushwa katika Wakala wa Umeme Vijijini (Rea) ya njia za uunganishaji umeme zinazochepushwa, huku taasisi za dini na wananchi wakitozwa fedha kinyume cha utaratibu ili waunganishiwe nishati hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Muhongo aagiza Rea iwatimue makandarasi wazembe Julai

>Waziri wa Nishati na Madini, Profesa  Sospeter Muhongo ameiagiza Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) kuwafutia mikataba makandarasi wote ambao watakuwa hawajaanza kazi ifikapo Julai Mosi, mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Waliopata umeme wa Rea kwa rushwa kuanza kuchunguzwa

Wananchi waliounganishiwa umeme kwa kutoa rushwa kwenye mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) mkoani Kagera, wataanza kufanyiwa uchunguzi mwezi huu, imeelezwa.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APATA MAPOKEZI MAKUBWA WILAYANI KISHAPU MKOANI SHINYANGA. AITWA “MZEE WA NGUZO” NA KUKABIDHIWA ZAWADI KWA KUSAMBAZA UMEME KWA KASI KUBWA WILAYANI HUMO

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu.

 Wakazi wa kijiji cha Ndoleleji  wilayani Kishapu wakimsikiliza kwa makini  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani). Profesa Muhongo ameahidi kuwapatia umeme kabla  ya tarehe 30 Aprili, mwaka huu.

 Wakazi wa Bubiki wilayani Kishapu wakimkabidhi  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto)  zawadi ya mbuzi...

 

10 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo ajiuzulu

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoHATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.

 

11 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo acharuka

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.

 

9 years ago

Michuzi

Profesa Muhongo aibana TANESCO

Na Mohamed Saif
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe limekamilisha kufunga umeme kwenye Jengo la Ofisi za Serikali la Mpakani  mwa Tanzania na Rwanda (One Stop Border post) lililopo eneo la Rusumo wilayani Ngara.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye Mpaka wa Tanzania na Rwanda kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Hatimaye Profesa Muhongo ajiuzulu

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoHATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Vita vya Profesa Muhongo

Sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow linaweza kuwa limefanya jina la Profesa Sospeter Muhongo kuzungumzwa sana na kuonekana amekuwa kwenye wakati mgumu tangu lilipoibuka, lakini ukweli ni kwamba lilikuwa hitimisho tu la matukio mengi tangu msomi huyo aanze kuongoza Wizara ya Nishati na Madini.

 

10 years ago

Mwananchi

AREMA wampinga Profesa Muhongo

Chama cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Arusha (Arema), kimepinga mpango wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wa kukifuta Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake (Tawoma) baada ya kupinga ongezeko la tozo kwa wachimbaji wadogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani