PROFILE : The dog whisperer of Dar es Salaam
Evance Kashanga, a resident of Kibamba in the outskirts of Dar es Salaam, has a million reasons to smile. Three years ago he learnt skills in dog training by the Kurasini Police Dog and Horse Unit.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
9 years ago
AllAfrica.Com16 Nov
Profile - the Dog Whisperer of Dar es Salaam
Profile - the Dog Whisperer of Dar es Salaam
AllAfrica.com
Evance Kashanga, a resident of Kibamba in the outskirts of Dar es Salaam, has a million reasons to smile. Three years ago he learnt skills in dog training by the Kurasini Police Dog and Horse Unit. While some people ignore the well-being of dogs to the ...
10 years ago
GPL08 May
10 years ago
GPLKIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
Ile ahadi ya Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ya kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo imetimia. Taarifa za uhakikia tulizozipata hivi punde ni kuwa kivuko hicho (Mv Dar es Salaam) kilichokuwa kinajengwa huko Denmark leo kimeshuka majini na tayari kuanza safari ya kuja Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kufika/kutua Dar es Salaam kati ya wiki tatu mpaka nne zijazo. Kivuko cha MV Dar es Salaam kitakuwa...
10 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...
10 years ago
Michuziklabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam
Umoja wa klabu za michezo za maveterani Dar es salaam, chini ya uratibu wa klabu za Singasinga na Tazara, unatangaza rasmi kwamba shughuli ya kurehemu wanachama wenzetu ambao wametangulia mbele ya haki itafanyika JUMATATU 12/1/2015, ikiwa pia ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Mapinduzi.
Ratiba itaanza Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...
Ratiba itaanza Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...
10 years ago
TheCitizen20 Jan
Dar es Salaam. Tanzania finished overall winners at the ITF/CAT East and Central Africa Tennis Junior Championship, which ended on Sunday at the Dar es Salaam Gymkhana Club (DGC).
Dar es Salaam. Tanzania finished  overall winners at the ITF/CAT East and Central Africa Tennis Junior Championship, which ended on Sunday at the Dar es Salaam Gymkhana Club (DGC).
11 years ago
Michuzi28 Jul
MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM
Mwili wa Marehemu Sydney Damson ambaye aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Dar es Salaam(sasa kikijulikana Taasisi ya Uhasibu Tanzania) ukiwasili nyumbani kwake Tandika Magorofani, Wilayani Temeke tayari kwa taratibu za kuaga kabla ya kwenda mazikoni.Mchungaji wa Kanisa la Moravian, Mchungaji Mwakalinga(kushoto) akiendesha Ibada Maalum ya kumuombea Marehemu Sydney Damson kabla ya zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu kuanza nyumbani kwake Tandika Magorofani leo Julai 27, 2014 Temeke Jijini...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania