Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROF.NDALICHAKO AWEKA JIWE LA MSINGI (TAEC) AWAMU YA PILI YA UJENZI WA MAHABARA 8 ZA KIUCHUNGUZI UTAKAOGAHARIMU SH.BIL 10.4


Mkurugenzi mkuu wa Tume ya nguvu za Atomiki Tanzania Prof.Lazaro Busagala, Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako ameweka jiwe la msingi katika awamu ya pili katika Tume hiyo iliyopo Mkoani Arusha
Dr.Remigius Kawala Mkurugenzi wa ufundi na huduma za Taasisi akimpa maelezo kwa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako namna ya kuandaa sampuli na kuchakata matokeo ya viasili vya mionzi kwenye mazingira,akipotembelea maabara na kukagua maendeleo ya ujenzi

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA DARAJA LA KILOMBERO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia wananchi kwa furaha wakati akielekea ukingoni mwa Mto Kilombero kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la kudumu juu ya mto Kilombero Agosti 20, 2014. Anaoongozana nao ni pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuri (kushoto kwa Rais), Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera (kushoto) na Mama Salma Kikwete (nyuma ya Rais). Rais...

 

9 years ago

Michuzi

Pinda aweka jiwe la msingi jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place eneo la Victoria jijini Dar es slaam

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika  eneo la Victoria jijini Dar es salaam  kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba  (NHC),...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NATIONAL DEFENCE HEADQUARTERS

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kitambaa wakati wa uwekaji jiwe la msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi  Jenerali Davis Mwamunyange,Watatu Kushoto ni Waziri wa Ulinzi Dkt.Huessein Ali Mwinyi na kulia ni Bwana Hu mwakiklkishi wa kampuni ya ujenzi kutoka China. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akimuonyesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mchoro wa majengo ya...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MBANDE-KONGWA 16.5KM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakwanza kushoto akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi pamoja na Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu Spika Job Ndugai wakifurahia mara baada ya Rais kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Mbande-Kongwa 16.5Km . Rais wa Jamhuri ya… ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MBANDE-KONGWA 16.5KM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakwanza kushoto akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi pamoja na Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu Spika Job Ndugai wakifurahia mara baada ya Rais kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Mbande-Kongwa 16.5Km . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe ...

 

9 years ago

Vijimambo

DK. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI YA ABDALLAH MZEE MKOANI PEMBA

Mchoro wa Majengo ya hospitali Mpya ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba likiwa katika ujenzi wake kisiwani Pemba likiwa karibu asilimia 75 liko tayari na ujenzi wake.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Xie Yunliang, alipowasili katika viwanja vya hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali, Mohamed Shein,...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO LA TTCL, AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA STENDI BARIADI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kuzindua rasmi  Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma kwa Wateja la Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu leo March 07,2020. kulia Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Waziri Kindamba. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu wakati wa uzindua rasmi  Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MAYAMAYA — MELA-BONGA KM 188.15

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya Mayamaya –Mela - Bonga Km 188.15. Wengine wanaoshuhudia tukio hilo ni Mwakilishi wa Serikali ya Japan kushoto, katikati ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) kwa upande wa Tanzania Dkt. Tonia Kandiero, Mama Salama Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani