Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pwani wasitisha vibali vya kukata miti

MKUU wa Mkoa wa Pwani Hajat Mwantumu Mahiza amesitisha vibali vya ukataji miti ambavyo vimesababisha uharibifu wa mazingira katika misitu iliyopo mkoani humo. Mahiza alisitisha vibali hivyo juzi wakati wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

SUMATRA yatoa vibali vya dharura 75 vya mabasi

JUMLA ya vibali vya dharura 75 vya mabasi vimetolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la usafiri kipindi hiki cha sikukuu huku hali ya usafiri katika Kituo cha Mabasi cha Ubungo ikizidi kuwa ngumu.

 

9 years ago

Habarileo

Vibali vya uwindaji vyasitishwa

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amezuia utoaji wa vibali vya uwindaji wanyama pori kwa miaka miwili. Sanjari na hilo amezuia uuzaji na upelekaji wa wanyama hao nje ya nchi.

 

10 years ago

Mtanzania

vibali vya waganga wa jadi kusitishwa Same

NA RODRICK MUSHI, SAME
SERIKALI wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, imesema itafanya tathmini ya vibali vyote vya waganga wa jadi vilivyokwisha muda wake.
Pamoja na tathmini hiyo, pia uongozi utasimamisha kwa muda utoaji wa vibali vipya vya waganga wa jadi.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Katibu Tawala Wilaya ya Same, Mashauri Msangi alipozungumza kwenye maadhimisho ya siku ya ulemavu wa ubongo duniani.
“Tutafanya tathmini ya vibali na tutasimamisha vibali vipya bila hofu ya kurogwa kwa vile...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘E-Immagration’ kurahisisha vibali vya uhamiaji

MFUMO wa ‘E-immagration’ unaelezwa kuwa utakuwa suluhu katika kutatua tatizo la kuchukua muda mrefu katika kushughulikia vibali vya wageni wanaotoka na kuingia nchini. Akizungumza na Tanzania Daima katika maonyesho ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yahusishwa vibali vya utoroshaji wanyama

KAMPUNI ya HAM Marketing and Gumbo Enterprise ya jijini Arusha imetajwa kuhusika katika uombaji wa vibali vya kukamata wanyama hai 154, wakiwemo Twiga wanne waliotoroshwa kwenda uarabuni kupitia uwanja wa Kimataifa...

 

10 years ago

Habarileo

Sheria mpya ya vibali vya ajira yaja

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka.WIZARA ya Kazi na Ajira iko katika mchakato wa kuandaa Sheria mpya ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni ili kudhibiti kuajiriwa kwa wageni ili kufanya kazi ambazo Watanzania wenyewe wanaweza kuzifanya.

Waziri katika wizara hiyo, Gaudentia Kabaka aliliambia Bunge kuwa sheria hiyo itatoa mwongozo juu ya utoaji vibali, kwani sasa kumekuwa na sehemu nyingi hivyo kuwa na sehemu moja pamoja na adhabu kwa wageni wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania.

Alisema mchakato huo uko...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waganda wapata vibali vya kazi Saudia

Mazungumzo yaliyofanywa kati ya Uganda na Saud Arabia, yametoa nafasi kwa raia wa Uganda kupata vibali vya kufanya kazi nchini humo.

 

11 years ago

Habarileo

Vibali vya ajira sekta ya afya vyaongezeka

NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Steven Kebwe amesema vibali vya ajira kwa wataalamu wa afya, vimekuwa vikiongezeka ili kutoa fursa ya kuongeza watumishi wanaotoa huduma ya afya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani