Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Qatar yamuondoa Balozi wake Misri

Qatar yamuondoa Balozi wake nchini Misri baada ya kushutumiwa kuwaunga mkono wapiganaji wa IS nchini Libya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kuwait yamuondoa balozi wake Iran

Kuwait imetangaza kwamba inamuondoa balozi wake kutoka Iran huku mvutano kuhusu kuuawa kwa mhubiri wa Kishia Saudia ukizidi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania

Balozi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Mhe. Jassin Mohamed Mubarak Al-Darwish, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Novemba 5, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi wa nchini yake nchini. (Picha na OMR).

Balozi2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Qatar...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA QATAR ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI TANZANIA, JASSIN MOHAMED MUBARAK AL-DARWIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Mhe. Jassin Mohamed Mubarak Al-Darwish, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Novemba 5, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi wa nchini yake nchini. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU BALOZI MULAMULA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA QATAR NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akipokea Nakala ya Hati za Utambulisho kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) kutoka kwa Balozi Mteule wa Qatar nchini Tanzania,  Mhe. Abdullah Jassim Mohamed Al Maadadi leo tarehe 17 Juni 2015.Balozi Mulamula akiwa katika mazungumzo na Balozi Al Maadadi mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Nakala za Hati za UtambulishoKaimu Mkurugenzi wa Idara ya...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe amuaga Balozi wa Qatar

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Mhe. Bernard  K. Membe (Mb.) akimkaribisha ofisini kwake Balozi wa kwanza wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Jassim M. Al-Darwish alipokwenda kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.Waziri Membe akizungumza jambo na Balozi Jassim M. Al-Darwish huku Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Balozi Simba Yahya (kushoto) akisikiliza.Afisa Mambo ya Nje, Bw. Batholomeo Jungu akisikiliza mazungumzo kati ya Waziri Membe na Balozi...

 

9 years ago

Vijimambo

DK SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI

x1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ikulu.x3Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia)  akifafanua jambo kwa Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain Ahmad Al-Homaid Wakati Balozi huyo alipomtembelea leo 6 Machi katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ya kushirikiana katika sekta ya Michezo. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia)  akibadilishana kadi za mawasiliano na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe....

 

9 years ago

Vijimambo

AZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Burundi hapa Nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi.Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa Waziri Mkuu leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini kwa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Burundi hapa Nchini  Bwana Issa Ntambuka ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi. Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa Waziri Mkuu leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani