Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raheem Sterling: Soka ulaya inahitaji meneja wa asili ya KiAfrika

Maendeleo katika mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi yatakuja tu kwenye sekta ya mpira wa miguu pale watu weusi zaidi watapewa nafasi zakuwa mameneja.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 18.02.2020: Sterling, Guendouzi, Smalling, Werner, Soumare

Raheem Sterling, 25, kusalia Manchester City licha ya klabu hiyo kupigwa marufuku kushiriki michuano ya Ulaya.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 25.03.2020: Mane, Sterling, Thiaw, Pogba, Haaland, Cucurella

Winga wa Manchester City na England Raheem Sterling, 25, bado ana mapenzi na Liverpool licha ya kuondoka klabuni hapo kwa mazingira ya chuki.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatau 17.02,.2020: Guardiola, Sterling, Solskjaer, Werner, Magalhaes, Morrison

Pep Guardiola atasalia kuwa mkufunzi wa Manchester City hata kama klabu hiyo itashindwa kukabiliana na marufuku ya kutoshiriki ligi ya Championship kwa miaka miaka miwili . (Mirror)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 22.02.2020: Jota, Silva, Hodgson, Onana, Allegri, Sterling

Manchester United huenda ikamsajili mshambuliaji wa Wolves na Ureno Diogo Jota, 23. (Calciomercato) msimu ujao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 16.03.2020: Ighalo, Van de Beek, Ronaldo, De Bruyne, Sterling, Kane

Mshambuliaji wa Manchester United na Nigeria Odion Ighalo, 30, ambaye yuko klabu hiyo kwa mkopo kutoka Shanghai Shenhua, anajianda kupunguziwa mshahara hadi £6m ili asalie katika ligi ya primia. (Mail)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 07.03.2020: Zidane, De Bruyne, Sterling, Skriniar, Zidane, Cantwell, Matic

Juventus iko tayari kumpatia Mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane mkataba wa £7m ili kumvuta mchezaji wake wa zamani kuchukua uongozi katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu. (Mail)

 

10 years ago

BBCSwahili

Raheem Sterling kuongeza mkataba

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool, Raheem Sterling atasaini mkataba mpya utakaombakisha klabuni hapo kwa muda mrefu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raheem Sterling kuelekea Old Trafford?

Mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling huenda akaelekea katika kilabu ya Manchester United

 

10 years ago

BBCSwahili

Raheem Sterling:Liverpool yapata pigo

Kilabu ya Liverpool imepata pigo baada ya mshambuliaji nyota Raheem Sterling kukataa kuanzisha mazungumzo juu ya mkataba mpya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani