Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia wa Kenya anaswa akivunja ATM Arusha

MTU mmoja aliyetambulika kwa jina la Annuary Ally, raia wa nchi jirani ya Kenya ametiwa mbaroni na polisi baada ya kukutwa akivunja mashine ya kutolea fedha (ATM) ya Benki ya Barclays, Tawi la Stendi Kuu ya mabasi jijini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AIBU NZITO MBOMGO FLEVA ANASWA AKIVUNJA AMRI YA SITA!

Stori: ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS
Aibu nzito! Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Venas John Bebu ‘Bebuz’ amenaswa laivu akivunja amri ya sita (kuzini) na mwanafunzi wa sekondari ufukweni. Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Venas John Bebu ‘Bebuz’ afumwa akivunja amri ya sita ufukweni Tukio hilo la aibu lilijiri wiki iliyopita mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Ufukwe wa Coco, Dar ambapo polisi jamii...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini

Kenya raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi Kenya baada ya kusambaa kwa video mtandaoni ikionesha mkenya akichapwa viboko.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maji ya ATM yazinduliwa nchini Kenya

Wakazi wa kitongoji duni cha Mathare katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, sasa wanaweza kupata maji safi ya kunywa na kwa matumizi mengine.

 

10 years ago

BBC

VIDEO: 'Water ATM' scheme launches in Kenya

Residents of the Mathare slum area of Kenya's capital, Nairobi, are now able to access water through an ATM-style dispenser.

 

5 years ago

Michuzi

KIGOGO BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA AMBAYE NI RAIA WA NIGERIA ANASWA JIJINI DAR, WAMO PIA WATANZANIA WAWILI...



Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya wakiwa chini ya ulinzi baada ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kuwanasa jijini Dar es Salaam.Tanki la maji machafu ambalo lilitengenezwa na watuhumiwa hao wa biashara ya dawa za kulevya kwa ajili ya kuwekea dawa hizo kama sehemu ya kuzificha.Hata hivyo tanki hilo walichelewa kulikamisha na hivyo dawa hizo kuzihifadhi ndani ya nyumba.
 
Na Ripota Wetu,Michuzi TV

MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana...

 

10 years ago

GPL

VIDEO: HAUSIGELI ANASWA AKIMNYONYESHA MTOTO WA BOSI WAKE KENYA

HAUSIGELI mmoja nchini Kenya amenaswa akimnyonyesha mtoto wa bosi wake. Hausigeli huyo aitwaye Grace Mwikali Mwema amekutwa akifanya kitendo hicho siku mbili tangu aanze kazi japo jaribio lake halikufanikiwa kwa kuwa mtoto alikataa kunyonya. Mama wa mtoto aligundua tukio hilo kutokana na kamera aliyoitega nyumbani kwake na akuunganisha na simu yake ya mkononi. Msichana huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi akisubiri kupandishwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab 1 raia wa UK auawa Kenya

Utafiti wa DNA unatarajiwa kuthibitisha kuwa mmoja wa wapiganaji 11 wa Al shabaab waliouawa na wanajeshi wa Kenya ni raia wa UK

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia 77 wa Uchina washtakiwa Kenya

Polisi nchini Kenya wamewafikisha mahakamani raia 77 wa Uchina kwa kushukiwa kushiriki udukuzi wa mawasiliano na ulanguzi wafedha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani