Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia wa kigeni wauawa Afghanistan

Takriban watu 15 wameuawa mjini Kabul baada ya mlipuaji wa kujitoa mhanga kushambulia mkahawa unaopendwa na raia wa kigeni

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Madaktari 3 wa kigeni wauawa Afghanistan

Mlinzi mmoja nchini Afghanistan amewaua kwa kuwapiga risasi madaktari 3 raia wa Marekani wanaofanya kazi katika hospitali moja mjini Kabul.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: idara ya uhamiaji yaendelea kucharuka, yamzuia raia wa netherlands kuingia nchini kwa kujihusisha na kusafrisha kimazabe raia wa kigeni

 Bw. Shirwan Naseh, raia wa Netherlands  mwenye asili ya Iraq aliyezuiliwa kuingia nchini na kupigwa pigwa PI na Idara ya Uhamiaji



 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 11 wauawa Afghanistan

Wapiganaji wa Taliban nchini Afghanistan wamedaiwa kuwaua wanajeshi 11 katika jimbo la Herat magharibi mwa taifa hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wauawa Afghanistan

Polisi nchini Afghnaistan wamesema wanajeshi sita wameuawa katika shambulio la bomu mjini Kabul.

 

5 years ago

Bongo5

Raia wa kigeni nchini wapewa siku 90

Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imetoa siku 90 kwa wageni kufanya uhakiki wa vibali vya ukazi ili kuimarisha udhibiti wa wageni wanaoishi nchini pamoja na kuzuia mianya ya upotevu wa maduhui ya serikali.

Anna Makakala, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
Akizungumza jijini Dar es Salaam Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala baada ya uzinduzi wa mfumo wa uhakiki kwa kutumia njia ya kielekroniki amesema mfumo huo ni rahisi na unatoa fursa kwa waajiri na wageni wote wenye vibali vya...

 

10 years ago

Habarileo

Raia wa kigeni wafa hotelini Dar

WATU sita wameaga dunia jijini Dar es Salaam wakiwemo raia wawili wa kigeni ambao wamekutwa wamekufa chumbani kwao na miili yao ikiwa haina jeraha lolote.

 

10 years ago

Mtanzania

Raia wa kigeni wakamatwa na madini JNIA

Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
RAIA wa kigeni wanaofanya biashara haramu ya madini wamekamatwa na madini yenye thamani ya Dola za Marekani 113,807.11 sawa Sh milioni 641.853 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa TMAA, Bron Mteta alisema watu hao walikamatwa katika matukio 27 tofauti huku wakiwa na madini ya aina mbalimbali.
Alisema miongoni mwa matukio hayo ni pamoja na lile la...

 

11 years ago

BBCSwahili

Msako dhidi ya raia wa kigeni Kenya

Polisi nchini Kenya wamewakamata mamia ya raia wa kigeni mjini Nairobi huku msako mkali ukifanywa dhidi ya watu wanaoshukiwa kuwa nchini humo kinyume na sheria.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waandishi wawili wauawa Afghanistan

Waandishi wawili wa habari wanawake wa kigeni wameuawa nchini Afghanistan.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani