Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madaktari 3 wa kigeni wauawa Afghanistan

Mlinzi mmoja nchini Afghanistan amewaua kwa kuwapiga risasi madaktari 3 raia wa Marekani wanaofanya kazi katika hospitali moja mjini Kabul.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa kigeni wauawa Afghanistan

Takriban watu 15 wameuawa mjini Kabul baada ya mlipuaji wa kujitoa mhanga kushambulia mkahawa unaopendwa na raia wa kigeni

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wauawa Afghanistan

Polisi nchini Afghnaistan wamesema wanajeshi sita wameuawa katika shambulio la bomu mjini Kabul.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 11 wauawa Afghanistan

Wapiganaji wa Taliban nchini Afghanistan wamedaiwa kuwaua wanajeshi 11 katika jimbo la Herat magharibi mwa taifa hilo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waandishi wawili wauawa Afghanistan

Waandishi wawili wa habari wanawake wa kigeni wameuawa nchini Afghanistan.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi watano wauawa Afghanistan

Wanajeshi watano wa Afghanistan wameuawa kwa shambulio la anga lililotekelezwa na majeshi ya NATO

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu zaidi ya 30 wauawa Afghanistan

Shambulizi la kujitoa mhanga kwenye mji ulio mashariki mwa Afghanistan wa Jalalabad limewaua watu 33 na kuwajeruhiwa wengine 100.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maafisa Polisi 20 wauawa Afghanistan

Maafisa Mashariki mwa Afghanistan wamesema maafisa wa Polisi 20 wameuawa katika mashambulio kadhaa

 

11 years ago

BBCSwahili

50 wauawa katika shambulizi Afghanistan

Ripoti zinasema kuwa takriban watu 50 wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea katika soko moja mashariki mwa Afghanistan

 

9 years ago

BBCSwahili

Watoto 10 wauawa katika mlipuko Afghanistan

Mlipuko mkubwa nje ya kituo cha kusambaza gesi katika mji wa Herat nchini Afghanistan, umesababisha vifo vya watoto kumi na mtu mzima mmoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani