Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia wa Tunisia kumchagua rais mpya

Wapiga kura nchini Tunisia wanaelekea katika vituo vya kupigia kura hii leo kumchagua rais mpya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Brazil kumchagua rais mpya

Raia wa Brazil wanapiga kura kumchagua rais na viongozi muhimu wa majimbo ya taifa hilo kubwa lililopo Marekani kusini.

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa Uturuki kumchagua rais mpya

Raia wa Uturuki wanapiga kura hii leo kumchagua rais wao moja kwa moja kwa mara ya kwanza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia kumchagua mrithi wa Ben Ali.

Tunisia inapiga kura hii leo katika raundi ya pili na ya mwisho ya kile kinachoonekana kama uchaguzi wa rais wa kihistoria.

 

10 years ago

Vijimambo

Tunisia kumchagua mrithi wa Ben Ali.-BBC

Raia wa tunisia wapiga kura ya kumchagua rais mpya wa taifa hilo tangu kuondolewa kwa Abedinne Ben Ali
Raia wa Tunisia wanapiga kura hii leo katika raundi ya pili na ya mwisho ya kile kinachoonekana kama uchaguzi wa rais wa kihistoria.

Ni uchaguzi unaotarajiwa kuleta demokrasia nchini humo,ambao unajiri miaka minne tangu kuondolewa madarakani kwa Zine Abedine Ben Ali.

Wagombea wa sasa ni kaimu rais Moncef Marzouki ambaye amekuwa mwanaharakati wa haki za kibinaadamu kwa muda mrefu na Beiji Caid...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais mpya wa Tunisia kuapishwa

Rais mteule wa Tunisia Beji Caid Essebsi anatarajiwa kuapishwa baada ya kushinda uchaguzi wa kwanza uliokuwa huru nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Nigeria kuchagua rais mpya

Mamilioni ya wapiga kura hii leo wanapiga kura nchini Nigeria kwenye uchaguzi wa urais wa kinyang'anyiro kikali

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa Guinea Bissau kuchagua rais mpya

Uchaguzi wa urais na maeneo bunge unafanyika katika taifa dogo la afrika magharibi Guinea Bissau.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia 30 wa Uingereza wauawa Tunisia

Raia 30 wa Uingereza ni miongoni mwa watu 39 waliouawa nchini Tunisia katika mji wa kitalii wa Sousse pwani ya Tunisia

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia 30 wa Uingereza waliuawa Tunisia

Raia 30 wa Uingereza ni miongoni mwa watu 39 waliouawa nchini Tunisia katika mji wa kitalii wa Sousse pwani ya Tunisia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani