Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais afuta sherehe za Siku ya Ukimwi

iku moja baada ya kufuta sherehe za Uhuru, zinazoadhimishwa Desemba 9 ya kila mwaka, jana Rais John Magufuli amefuta maadhimisho ya Siku ya Ukimwi na kuagiza badala yake, fedha ambazo zingetumika zinunulie dawa za kufubaza makali ya Ukimwi (ARV).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Magufuli afuta sherehe za Uhuru

Magufuli+PHOTO*Asema zitaadhimishwa kwa wananchi kufanya usafi

*Akerwa na kipindupindu, wasomi wazungumzia uamuzi huo.

 

NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM

RAIS Dk. John Magufuli, amefuta sherehe za Uhuru mwaka huu, na kusema Watanzania watasherehekea kwa kufanya usafi wa mazingira nchi nzima ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Agizo la Rais Magufuli, lilitangazwa Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipofanya ziara Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Ziara hiyo, ililenga...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kusitishwa kwa maadhimisho ya siku ya Ukimwi agizo la Rais!

tacaids-2

Mwenyekiti Mtendaji wa Tacaids, Dokta Fatma Mrisho akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na Maktaba yetu).

 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA KUSITISHA SHEREHE ZA SIKU YA UKIMWI NCHINI

 

10 years ago

Bongo5

Wizkid amkosha Rais wa Gambia kwenye sherehe za Uhuru wa nchi hiyo, Rais amuomba arudie show siku iliyofata

Wizkid alienda nchini Gambia kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe za Uhuru wa nchi hiyo zilizofanyika Jumamosi iliyopita Feb.28. Baada ya kumkosha Rais wa nchi hiyo kwa kufanya show kali mbele ya umati mkubwa wa watu waliohudhuria, alijikuta anaongezewa show ya pili kesho yake likiwa ni ombi la Rais huyo aliyekiri kuwa shabiki wake. Wizkid […]

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI NJOMBE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani iliyofanyika leo Desemba 1, 2014 Kitaifa kwenye Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA SHERIA NCHINI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za Siku ya Sherianchini katika viwanja wa Mahakama barabara ya Chimala jijini Dar essalaam leo February 4, 2015

PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZALIWA MWANZILISHI WA USKAUTI DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania, Abdulkarim Shah (kulia) na Kiongozi wa Skauti, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Feb 21, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya Siku ya kuzaliwa Mwanzilishi wa Uskauti Duniani, Lord Rebert Stevenson Smyth Baden-Powell.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...

 

11 years ago

Habarileo

Rais Banda akataa matokeo, afuta uchaguzi

KIU ya Malawi ya kupata Rais wa nchi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 20, mwaka huu, huenda ikashindwa kukatika miongoni mwa raia wa nchi hiyo baada ya Rais anayemaliza muda wake, Dk Joyce Banda kutangaza kusitisha shughuli zote za uchaguzi huo.

 

5 years ago

Michuzi

Rais wa Kenya afuta safari ya Italia kutokana na hofu ya corona

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amefuta safari yake ya Italia kufuatia hofu ya ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona. Baada ya China, Italia sasa ndio nchi yenye idadi kubwa zaidi ya watu walioambukizwa na kufariki kutokana na ugonjwa wa COVID-19.

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, hadi kufikia Machi 14, watu 17,660 walikuwa wameambukizwa kirusi cha corona Italia huku wengine 1,268 wakiwa wamepoteza maisha.

Kwa mujibu wa ripoti katika gazeti la Daily Nation, Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani