Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais arejeshwa Baraza la Ulinzi na Usalama

WAKATI rasimu ya Katiba Mpya ikimwondoa Rais wa Jamhuri ya Muungano katika Baraza la Ulinzi na Usalama wa Taifa lenye wajumbe 13, mapendekezo ya wajumbe walio wengi katika taarifa za...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla. Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AAGWA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LEO



Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi  na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atunuku Nishani Watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ametunuku Nishani kwa watumishi wa vyombo vya ulinzi na Usalama nchini katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Pichani Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watumishi waliotunukiwa nishani za madaraja mbalimbali..Viongozi wengine katika picha waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Rais Wa Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein(watano kushoto), Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal, na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(picha na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aagwa na Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini mapema leo jijini Dar es Salaam

1 (1)

Picha ya juu na chini: Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi  na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

2 (1)

…Naaga!!

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi jana kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla.…

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto . Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.Prof. Mabula Daudi Mchembe akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Hafla iliyofanyika Wilayani...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Mhe. Pereira Ame Silima (Mb.) (wa kwanza toka kushoto) akimweleza jambo Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Abigail Ambweni (wa tatu toka kushoto) wakati Baraza hili lilipotia saini makubaliano na kampuni hiyo kuendeleza ushirikiano katika kampeni za usalama barabarani ambazo Vodacom imekuwa ikidhamini tangu mwaka 2014. Akisikiliza pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo na Kamanda...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Rais wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani