Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS JAKAYA KIKWETE TAYARI AMESHASAINI SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO


Rais Jakaya Kikwete tayari ameshasaini sheria yenye utata ya makosa ya mtandao na muda wowote kuanzia sasa itaanza kutumika rasmi.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, amesema hayo leo wakati akizungumzia masuala mbali mbali yanayohusu sheria hiyo ambayo kupitishwa kwake kumesababisha malalamiko mengi kutoka kwa wadau kuwa itaminya uhuru wa habari, kuingilia faragha pamoja na uhuru wa watu kuwasiliana.Ufuatao hapa chini ni uchambuzi kidogo kuhusu baadhi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

9 years ago

GPL

SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO YAPINGWA MAHAKAMANI

Mkurugenzi wa THRDC, Onesmo Olengurumwa. MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na mashirika mengine ya kutetea haki za binadamu leo wamefungua kesi ya Kikatiba kupinga baadhi ya vipengele katika Sheria ya Makosa ya Mitandao. Vipengele vinavyopigwa ni kifungu cha 4, 5 na 45 (4) cha Sheria ya Makosa ya Mitandaoni ambacho kinazuia haki ya kupata na kutoa taarifa ambacho kinakinzana na Ibara ya 18 ya Katiba...

 

9 years ago

Mwananchi

Sheria ya Makosa ya Mitandao itawasadia wasanii

‘Hata uwe mrefu vipi huwezi kuiona kesho’, lakini laiti kama hilo lingewezekana basi ningeutafuta urefu kwa udi na uvumba ili niweze kuona jinsi hali itakavyokuwa kwenye mitandao ya kijamii.

 

9 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WAELIMISHWA JUU YA SHERIA ZA MAKOSA YA MITANDAO

 Afisa Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigati akizunzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na sheria za makosa ya mitandao, ambapo sheria hii itatumia Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam.  Afisa Mawasiliano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Melkizdeck Karol akiwaelimisha waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya usalama wa sheria za mitandao...

 

9 years ago

Vijimambo

WAANDISHI WA HABARI WAELIMISHWA JUU YA SHERIA NA MAKOSA YA MITANDAO

 Afisa Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigati akizunzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na sheria za makosa ya mitandao, ambapo sheria hii itatumia Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam.  Afisa Mawasiliano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Melkizdeck Karol akiwaelimisha waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya usalama wa sheria za mitandao...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi wa Arusha wafuraishwa na matumizi ya sheria ya makosa ya mitandao.

 

Sheria za makosa ya mtandao na miamala ya kielektoniki za mwaka 2015 zimeonesha kupokelewa vema na wakazi wa jiji la Arusha kutokana na adha mbalimbali walizokuwa wanakabiliana nazo kabla ya kuanza kwa sheria hizo.

Wakazi hao wameonesha kufurahishwa na jitihada zinazofanywa na Serikali kupambana na makosa ya mtandao hasa katika nyakati hizi ambapo matukio ya namna hiyo   yameshamri.

Wakati wananchi wakizungumza hayo Wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia imeandaa kikao...

 

10 years ago

Vijimambo

WATOTO wamuomba Rais Jakaya Kikwete kutilia mkazo mabadiliko ya sheria

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Seif Rashid machapisho mbalimbali baada ya kuzindua kongamano la siku mbili la kimataifa la watoto walio katika mazingira hatarishi Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba machapisho hayo.Makamu wa Rais...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunifu wa Mavazi wa Kimataifa Sheria Ngowi akutana na Rais Jakaya Kikwete IKULU Jijini Dar es Salaam leo

D92A9266

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali.

D92A9280

Rais Jakaya Kikwete akijadiliana na Ujumbe maalum ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia)ikulu jijini Dar es Salaam Leo.

D92A9291

Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia) IKULU Jijini Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani