Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO wamuomba Rais Jakaya Kikwete kutilia mkazo mabadiliko ya sheria

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Seif Rashid machapisho mbalimbali baada ya kuzindua kongamano la siku mbili la kimataifa la watoto walio katika mazingira hatarishi Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba machapisho hayo.Makamu wa Rais...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE TAYARI AMESHASAINI SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO


Rais Jakaya Kikwete tayari ameshasaini sheria yenye utata ya makosa ya mtandao na muda wowote kuanzia sasa itaanza kutumika rasmi.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, amesema hayo leo wakati akizungumzia masuala mbali mbali yanayohusu sheria hiyo ambayo kupitishwa kwake kumesababisha malalamiko mengi kutoka kwa wadau kuwa itaminya uhuru wa habari, kuingilia faragha pamoja na uhuru wa watu kuwasiliana.Ufuatao hapa chini ni uchambuzi kidogo kuhusu baadhi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete awapa zawadi ya Idd mahabusu ya watoto Arusha

jk 1

Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Addoh Mapunda (wa pili kulia)kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi za Idd el Hajj Meneja wa Mahabusu ya Watoto mkoa wa Arusha, Mussa Mapua jana kwa ajili ya kusherekea siku kuu hiyo leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Kikwete ametoa zawadi mbalimbali katika Mahabusu ya watoto walikinzana na sheria iliyopo jijini Arusha.

Akikabidhi zawadi hizo kwa niaba ya Rais Kikwete,Katibu Tawala wa mkoa wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Dewji Blog

Mbunifu wa Mavazi wa Kimataifa Sheria Ngowi akutana na Rais Jakaya Kikwete IKULU Jijini Dar es Salaam leo

D92A9266

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali.

D92A9280

Rais Jakaya Kikwete akijadiliana na Ujumbe maalum ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia)ikulu jijini Dar es Salaam Leo.

D92A9291

Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia) IKULU Jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wamuomba Rais Kikwete kuwanusuru

WANANCHI zaidi ya 350 wanaoishi katika Kitongoji cha Nyansirori, Kijiji cha Mikomariro, Wilaya ya hapa, mkoani Mara, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati wasihamishwe katika kitongoji hicho, kutokana na agizo la halmashauri ya wilaya hiyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal amwakilisha Rais Jakaya Kikwete, azindua HALOTEL TANZANIA

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, wakati walipokuwa kwenye Hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Edgar Lungu wa Zambia Aandaa Dhifa Kwa Heshima ya Rais Jakaya Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na Rais wa Kwanza wa taifa la Zambia Dkt.Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Kikwete ambaye alikuwa katika ziara ya siku mbili nchini Zambia tayari amerejea jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE AMUANDALIA RAIS WA UJERUMANI DHIFA YA KITAIFA YA CHAKULA CHA USIKU, IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete(wa pili kutoka kulia) na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck (wa tatu kutoka kulia) wakifurahia wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyomwandalia  kiongozi   huyo jana usiku, Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mke wa Rais wa Tanzania, mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani