Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wamuomba Rais Kikwete kuwanusuru

WANANCHI zaidi ya 350 wanaoishi katika Kitongoji cha Nyansirori, Kijiji cha Mikomariro, Wilaya ya hapa, mkoani Mara, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati wasihamishwe katika kitongoji hicho, kutokana na agizo la halmashauri ya wilaya hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC ataka kanisa kuendeleza ardhi,wananchi wamuomba Rais kuingilia kati

Na Amiri Kilagalila, Njombe
Wananchi wa kijiji cha Magoda halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wameonyesha kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa na mkuu wa wilaya Ruth Msafiri wa kuliachia kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania KKKT dayosisi ya kusini, ardhi yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 580 kwa madai ya kwamba hawana sifa kisheria za umiliki wa eneo hilo.

Kufuatia agizo hilo ambalo limetolewa mbele ya mkutano wa hadhara, wananchi wanasema wanafikiri kwenda kuitafuta haki yao katika...

 

10 years ago

Vijimambo

WATOTO wamuomba Rais Jakaya Kikwete kutilia mkazo mabadiliko ya sheria

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Seif Rashid machapisho mbalimbali baada ya kuzindua kongamano la siku mbili la kimataifa la watoto walio katika mazingira hatarishi Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba machapisho hayo.Makamu wa Rais...

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi na wananchi wa Mbweni JKT wilayani Kinondoni wamuomba DC Makonda apige jicho mradi wa daraja uliokwama


Licha ya mtaa wa Mbweni JKT, jijini Dar es Salaam kujengwa majumba ya kifahari na kupatikana pia nyumba za viongozi mbalimbali wa serikali, miundo mbinu yake, hususan daraja linalojengwa katika eneo hilo ili kuwafanya wananchi wapite kwa urahisi kusua sua. Kwa miaka kadhaa sasa ujenzi wa daraja hilo umesimama.


Pichani ni gari la mwananchi na mkazi wa eneo hilo akipta kwenye maji ambayo mara kadhaa hujikuta wamesimama kwa saa kadhaa, hususan kama eneo hilo litajaa baada ya eneo hilo kujaa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAGA WANANCHI WA TANGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia mamia ya wakazi wa mji wa Tanga waliojitokeza katika mkutano mkubwa wa hadhara ambapo aliwaaga rasmi na kumpa zawadi mbalimbali leo jioni.(picha na Freddy Maro).

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFUTARISHA WANANCHI WA MBEYA‏

Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi "Sugu" akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
Meza Kuu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.…
...

 

11 years ago

CloudsFM

RAIS KIKWETE ALIVYO FUTARISHA WANANCHI WA MBEYA

Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.Meza Kuu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya...

 

9 years ago

StarTV

TALGWU wamuomba Rais Magufuli kusaidia malipo yao ya bilioni 18.

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa TALGWU kimemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati madai yao ili waweze kulipa malimbikizo yao ya zaidi ya Shilingi Bilioni 18 za wafanyakazi wa serikali za mitaa kabla ya kumalizika kwa Desemba mwaka huu.

Fedha hizo ambazo ni madai ya Agosti 2011 hadi Aprili mwaka 2012 zinadaiwa kuwa ni malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi ya likizo, masomo, uhamisho wa wafanyakazi pamoja na matibabu na kwamba zisipolipwa TALGWU inakusudia kuingia kwenye...

 

9 years ago

Mwananchi

Kauli ya Rais Kikwete yazua sintofahamu kwa wananchi

Kauli ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa jana na kukosea idadi ya wapigakura walioandikishwa kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, imeongeza idadi ya wananchi waliopiga simu kwenye kituo maalumu cha huduma kwa wateja cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA BAGAMOYO

Baadhi ya wananchi wa Bagamoyo wakiswali swala ya Magharibi wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akichota futari pamoja na wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani