Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KENYATTA ATANGAZA MARUFUKU YA KUTEMBEA MJINI NAIROBI, KILIFI, KWALE MOMBASA

   Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza marufuku ya kuingia na kutoka katika kaunti za Nairobi, Kilifi, kwale Mombasa huku idadi ya maambukizi ya virusi vya corona ikiongezeka kwa visa 16 zaidi.

Idadi ya watu walioambukizwa nchini Kenya sasa imefikia jumla ya watu 158 huku vifo vikiwa ni 6. Kulingana na rais Kenyatta watu 4277 wamefanyiwa vipimo vya virusi vya corona.

Bwana Kenyatta pia amewaagiza Wakenya wote kuvaa barakoa katika maeneo yote ya umma, na kuepuka maeneo yenye mikusanyiko ya...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais Kenyatta atangaza ametangaza marufuku ya kutotembea mjini Nairobi, Kilifi, kwale Mombasa

Raia wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza marufuku ya kutoingia poingia na kutoka katika kaunti za Nairobi, Kilifi, kwale Mombasa huku idadi ya maambukizi ya virusi vya corona ikiongezeka kwa visa 16 zaidi

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia

 .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jijini Windhoek Namibia ambapo walihudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Namibia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Hoteli ya Safari Court jijini Windhoek Namibia jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi(kulia) na Benjamin William Mkapa(kushoto) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako jijini...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI KUREJEA NYUMBANI

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama. Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC,...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA

Serikali ya Kenya na watu wake wameelezea shukrani zake kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa urafiki na ushirikiano thabiti aliouonyesha kwa watu wa Kenya katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hayo tarehe 5 Oktoba, 2015 katika Ikulu ya Nairobi wakati wa mazungumzo ya kiserikali. "I thank you, and on behalf of People of Kenya for your friendship and Cooperation that was reflected during your 10 years as President" Rais Kenyatta amemueleza Rais Kikwete...

 

11 years ago

Mwananchi

NHC kushindanisha Dar, Arusha, Nairobi na Mombasa

>Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lipo mbioni kutekeleza mpango wake wa kujenga miji midogo inayojitegemea ndani ya miji ya sasa ikiwamo Arusha na Dar es Salaam, itakayokuwa na hadhi na iliyojitosheleza ikishindana na miji ya Mombasa na Nairobi nchini Kenya.

 

5 years ago

Michuzi

Mitaa ya Nairobi na Mombasa yawekewa amri ya kutotoka nje saa 24

Wakaazi wa Maeneo ya Eastleigh jijini Nairobi na Old towm mjini Mombasa nchini Kenya hawatoruhusiwa kutoka katika maeneo hayo katika kipindi cha wiki mbili zijazo kuanzia saa moja usiku wa Jumatano Mei 6, 2020.

Hatua hiyo inalenga kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona katika maeneo mengine ya miji ya Nairobi na Mombasa huku wagonjwa wengine wapya 47 wakitangazwa na kufanya idadi ya maambukizi kufikia watu 580.

Akizungumza na vyombo vya habari Waziri wa Afya Mutahi kagwe amesema...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona :Polisi sita kushtakiwa kwa mauaji waliyotekeleza wakati wa 'marufuku ya kutembea usiku'

Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi nchini Kenya katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutembea usiku ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona:Mitaa ya Nairobi na Mombasa yawekewa amri ya kutotoka nje saa 24

Wakaazi wa Maeneo ya Eastleigh jijini Nairobi na Old towm mjini Mombasa nchini Kenya hawatoruhusiwa kutoka katika maeneo hayo katika kipindi cha wiki mbili zijazo kuanzia saa moja usiku wa Jumatano Mei 6, 2020.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani