RAIS KIKWETE AFANYA MABADILIKO YA WAKUU WA WILAYA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Dk. Jakaya Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia leo, Jumatatu, Mei 25, 2015. Aidha, Rais Kikwete amefanya uhamisho wa wakuu 10 wa Wilaya kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa Wilaya mbali mbali… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Breaking News: JK afanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya huku wengine wakitenguliwa
Habari zilizotufikia hivi punde Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya leo mjini Dodoma kwa taarifa iliyotangazwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa niaba ya Rais hivi punde, huku Paul Makonda aula na kuwa DC wa Kinondoni.
Modewjiblog itakueletea taarifa kamili hivi punde endelea kuperuzi mtandao wetu.
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Rais Kikwete ateua wakuu wa wilaya 13
10 years ago
StarTV24 Jan
Rais Kikwete afanya mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri.
Rais Jakaya kikwete wa Tanzania ametangaza mabadiliko katika baraza lake la mawaziri.
Rais amewateua mawaziri wanane wapya pamoja na manaibu watano.
Tangazo hilo lilifanywa na katibu katika ikulu ya rais balozi Ombeni Sefue.
Mabadiliko hayo yanajumuisha wadhfa wa waziri wa nishati na kawi wa Profesa Muhongo ambaye amejiuzulu mapema leo pamoja na wadhfa wa waziri wa ardhi ambao uliwachwa wazi baada ya kupigwa kalamu kwa Anna Tibaijuka.
Mawaziri hao wawili wanahusishwa na kashfa ya ufisadi...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-pK01FWgahDc/VMO9JMHl5yI/AAAAAAAG_WI/hNP5zn1UUvY/s72-c/WAZIRI%2BLEO0.jpg)
Rais Kikwete afanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri
![](http://3.bp.blogspot.com/-pK01FWgahDc/VMO9JMHl5yI/AAAAAAAG_WI/hNP5zn1UUvY/s640/WAZIRI%2BLEO0.jpg)
Hatimaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete Ametangaza mabadiliko katika baraza lake la Mawaziri
Rais Kikwete amewateua mawaziri wanane wapya pamoja na manaibu watano. Tangazo hilo lililotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Ikulu ya Rais Balozi
Mabadiliko hayo yanajumuisha wadhfa wa Waziri wa Nishati na madini Prof Sospeter Muhongo ambae amejiuzulu mapema leo pamoja na...
10 years ago
Dewji Blog26 May
JK amemteua Bwana Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma, ,afanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VP18IrdhRvw/VQhTjqgqiCI/AAAAAAAHLFE/LxYr-4Px1Lg/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
RAIS KIKWETE AFUNGUA MAFUNZO YA WAKUU WAPYA WA WILAYA,MJINI DODOMA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-VP18IrdhRvw/VQhTjqgqiCI/AAAAAAAHLFE/LxYr-4Px1Lg/s1600/unnamed%2B(27).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-XKuYm8FtiWk/VQhTjbrRgGI/AAAAAAAHLE8/a0uBkYRo2lQ/s1600/unnamed%2B(28).jpg)
10 years ago
Michuzi18 Feb
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27, PAUL MAKONDA NA FREDRICK MWAKALEBELA NDANI
10 years ago
Mwananchi14 May
Dk Shein afanya mabadiliko ya wilaya