Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete afungua Semina ya Commodity Exchange Dodoma

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kiikwete akifungua Semina ya Africa Rural Commodity Exchange iliyofanyika katika ukumbi wa St.Gasper mjini Dodoma leo.Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto ni Mtaalamu wa Masoko ya mitaji kutoka Ethiopia Dkt.Eleni Gabre Madhin. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya Africa Rural Commodity exchange iliyofanyika katika ukumbi wa St.Gasper mjini Dodoma leo, Semina hiyo yenye maudhui Toward a...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Ethiopian Commodity Exchange Appoints New CEO

PRESS RELEASE
Ethiopian Commodity Exchange Appoints New CEO

ADDIS ABABA, Ethiopia, May 7, 2015/ -- The Board of Directors Office of the Ethiopian Commodity Exchange (http://www.ecx.com.et) today announced the appointment of Ato Ermias Eshetu as Chief Executive Officer of the ECX.
Photo Ato Ermias Eshetu: http://www.photos.apo-opa.com/index.php?level=picture&id=1944
Logo: http://www.photos.apo-opa.com/plog-content/images/apo/photos/ece.png
Ato Ermias has held a range of leadership positions...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Afungua Hospitali ya Utafiti na Tiba Dodoma

.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,na Rais wa Awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa wakikata utepe kufungua rasmi la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo. (picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital...

 

10 years ago

TheCitizen

Bill on Commodity Exchange Market for tabling in House

A bill on the law for establishing an exchange market for commodities is set to be tabled in the next budget meeting in Parliament.

 

10 years ago

TheCitizen

Preparations for Commodity Exchange Market in full gear

Preparations for the anticipated Commodities Exchange Market are at an advanced stage.

 

9 years ago

TheCitizen

Commodity exchange to raise agriculture share to economy

Contribution of agriculture to Tanzania’s economy is seen rising soon when the Commodity Exchange market starts.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI NYUMBA ZA MAKAZI MEDELI, DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wenye nyumba 150, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi (wa kwanza kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji na Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene. Waziri wa Maji, Profesa Jumanne...

 

10 years ago

TheCitizen

Govt in process of drawing up Bill on commodity exchange market

>A law to establish an exchange market for commodities is in the pipeline.The aim is to help farmers to sell their produce with much ease.

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI JENGO LA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI DODOMA

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo, tarehe 15 Oktoba, 2015, amelifungua rasmi jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi mkoani Dodoma.

Akizungumza wakati wa ufunguzi huo, Rais Kikwete ameipongeza Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa kujenga jengo zuri linaloakisi sifa na heshima ya utendaji wa Ofisi hiyo.

Kwa upande wake CAG, aliishukuru Serikali ya Awamu ya Nne kwa kuiwezesha ofisi yake na kuongeza uhuru wa ofisi hiyo kwa kuwawezesha kujenga majengo katika...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAFUNZO YA WAKUU WAPYA WA WILAYA,MJINI DODOMA LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mafunzo ya wakuu wa wilaya wapya yanayofanyika katika ukumbi wa hosteli ya St.Gaspar mjini Dodoma leo jioni.Kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia,Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa na kulia ni Naibu waziri TAMISEMI Mh.Aggrey Mwanri. Baadhi ya wakuu wa wilaya wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo kwa wakuu wapya wa wilaya mjini Dodoma leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani