Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete ahudhuria jubilei za watawa Lugoba

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Sista.Perpetua(kushoto) aliyekuwa anaadhimisha miaka 50 ya utawa na Sista Ponsiana(kulia) aliyekuwa anaadhimisha miaka 25 ya utawa .Maadhimisho hayo yalifanyika katika kanisa Katoliki Lugoba jana.(picha na Freddy Maro).

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ahudhuria jubilei za watawa Lugoba, Bagamoy, Mkoa wa Pwani

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Sista.Perpetua(kushoto) aliyekuwa anaadhimisha miaka 50 ya utawa na Sista Ponsiana(kulia) aliyekuwa anaadhimisha miaka 25 ya utawa .Maadhimisho hayo yalifanyika katika kanisa Katoliki Lugoba jana. Picha na Freddy Maro

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA JUBILEI YA KANISA KATOLIKI ARUSHA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki baada ya ibada ya Jubilei ya miaka 50 ya Kanisa Kuu  la Jimbo la Arusha iliyofanyika mjini Arusha leo Desemba 30,2013. Baadhi ya viongozi waliohudhuria katika Jubilei hiyo. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)…

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ahudhuria sherehe za Kumuapisha Rais Mpya wa Msumbiji

Rais Mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akila kiapo cha urais kuiongoza nchi ya Msumbiji jijini Maputo Msumbiji leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mpya wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi muda mfupi baada ya kuapishwa jijini Maputo Msumbiji leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Mpya wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi pamoja na Rais wa Msumbiji aliyemaliza muda wake Armando Emilio Guebuza katika viwanja vya ikulu ya Maputo baada ya sherehe za kuapisha leo.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA KULA KIAPO ZA RAIS ZUMA WA AFRIKA KUSINI LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini leo Mei 24, 2014. Rais Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake leo Mei 24, 2014. 
Ndege za kijeshi zikiunda umbo la "20" kuashiria miaka ishirini ya uhuru kamili...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA JUBILEI YA ASKOFU MKUU NGALALEKUMTWA WA IRINGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Baba Askofu, Tarcisius Ngalalekumtwa (katikati) na Makamu wake, Mhashamu Baba Askofu Severini Niwemugizi katika misa ya Jubilei ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu Mkuu Ngalalekumtwa iliyofanyika kwenye Viwanja vya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Iringa Julai 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ahudhuria Sherehe za Miaka 40 za Uhuru wa Msumbiji

Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi amkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete katika uwanja wa Michezo wa Michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za miaka 40 za Uhuru wa Msumbiji.Msumbiji ilipata uhuru wake tarehe25 June mwaka 1975 kutoka kwa mkoloni Mreno.(picha na Freddy Maro).

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ahudhuria Mkutano wa 34 wa SADC Victoria Falls

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua kutoka kwa watoto leo muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe ambapo atashiriki katika mkutano wa 34 wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe. Rais...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete (kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi jana. Kushoto ni Mwenyeji wao Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.Wa tatu kushoto ni Naibu Rais wa Kenya William Ruto, Wa tano Kushoto ni Waziri Mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Desalegn na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na mkewe.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani