Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete amuandikia barua Tenga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete. Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amemuandikia barua Rais Mstaafu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga, akimshukuru kwa mchango wake wa kuliendeleza soka la Tanzania. Katika barua yake hiyo, Rais Kikwete amemtaka  Tenga asichoke kutoa ushauri na uzoefu wake kila utakapohitajika katika shughuli...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Barua ya wazi kwa Rais Kikwete II

WABUNGE na Wawakilishi hawa wana nafasi ya kufanyia marekebisho Katiba ya sasa chini ya Ibara ya 98; lakini hawakuchaguliwa na mtu hata mmoja kuwa sehemu ya kuandika Katiba mpya ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif amwandikia barua Rais Kikwete

Mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amemwandikia barua Rais Jakaya Kikwete kumwomba wakutane ili kuzungumzia hali ya kisiasa ya Zanzibar, baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015 kufutwa.

 

11 years ago

CloudsFM

AY AWAKILISHA BARUA YA WAKULIMA KWA RAIS KIKWETE

Hivi karibuni katika hoteli ya Double Tree mbele ya mgeni wa heshima Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete, balozi wa taasisi ya One Africa,msanii AY mzee wa ‘commercial’ aliwakilisha na kuisoma barua ya wazi kutoka wakulima waliyompatia aifikishe kwa rais, AY alikuwa na wasanii wenzake Profesa Jay na Mrisho Mpoto.

 

11 years ago

GPL

BARUA KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JAKAYA MRISHO KIKWETE

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. KWA: MHE. RAIS WA JAMHURI YA  MUUNGANO WA TANZANIA, JAKAYA MRISHO KIKWETE
Ndugu,
YAH: UNYANYASAJI ULIOPITILIZA WA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WASOMAO CHINA Tafadhali rejea mada iliyotajwa hapo juu.
Mheshimiwa Rais, awali ya yote, tunapenda kuchukua fursa hii kukupa pole na majukumu yako ya kila siku na kukutakia heri ya Mwaka Mpya. Mheshimiwa, tunaandika  barua hii ya  wazi kwako...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AMSHUKURU LEODGER TENGA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi amemshukuru Rais wa CECAFA, Leodgar Tenga kwa kuipa Tanzania uenyeji wa mashindano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) iliyomalizika jana kwa klabu ya Azam FC kutawazwa Mabingwa wapya wa michuano hiyo.
Aidha Malinzi ameishukuru Kamati ya Ndani ya Uendeshaji ya Michuano hiyo (LOC) kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuandaa na kuhakikisha michuano hiyo inafanyika na kumalizika katika hali ya usalama na amani. ...

 

10 years ago

Bongo5

Kanye West amuandikia ujumbe mtamu wa birthday mkewe Kim Kardashian

October 21 Kim Kardashian West amesheherekea siku yake ya kuzaliwa, ametimiza miaka 34. Staa huyo wa Keeping Up With The Kardashians ambaye ni mama wa mtoto mmoja (North West) amepokea pongezi nyingi ikiwemo ya mume wake rapper Kanye West, ulioambatana na maneno matamu.

 

11 years ago

Michuzi

Malinzi Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa CAF, Issa Hayatou Jijini Cairo,Misri Akisindikizwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF Leodegar Tenga

 Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa CAF, Issa Hayatou Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akiwa na Rais wa CAF, Issa Hayatou na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF, Leodegar Tenga Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. --- Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemwahidi ushirikiano Rais waShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. Ahadi hiyo imetolewa juzi (Februari 21 mwaka huu) makao makuu ya...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS TRUMP ALIMWA BARUA NA SPIKA WA BUNGE

  Spika wa Bunge la Marekani maarufu kama ‘Congress’, Nancy Pelosi amemlima barua nzito  Rais Donald Trump kwa kutaka atoe maelezo kuhusu ongezeko kubwa la matumizi ya majeshi dhidi ya raia wanaoandamana kwa uhuru ndani ya nchi hiyo.
Katika barua hiyo ambayo iliandikwa tarehe 4 Juni, Spika Pelosi amesema kuwa wameshuhudia wanajeshi kwenye ngazi za Lincoln Memorial na sehemu nyingine za jiji la Washington, yalipo makao makuu ya taifa hilo.
==>>Tafsiri ya barua ya Spika Nancy Pelosi kwa Donald...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani