Rais Kikwete aongoza Kampeni Dhidi ya Ukimwi Kilimanjaro
![](http://2.bp.blogspot.com/-HXey3bAvIpo/U2TVyrtAYjI/AAAAAAAFfEQ/gy6OxnOQy2U/s72-c/unnamed+(2).jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi hundi ya jumla ya Shilingi Milioni miamoja na Hamsini 150m/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Moyo wa Huruma kilichopo mkoa wa Geita.
Fedha hizo si sehemu ya shilingi milioni mia saba(700m/-) alizokabidhi Rais Kikwete jana usiku kwa taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na mapambano dhidi ya ukimwi Tanzania.Fedha hizo zinatokana na kampeni ya kukusanya fedha kwa njia ya kupanda mlima Kilimanjaro kila mwaka ambapo wafadhili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi04 May
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Rais Kikwete aongoza mazishi ya Liundi
RAIS Jakaya Kikwete amewaongoza waombolezaji wakiwemo mawaziri na viongozi mbalimbali wa serikali na wa kidini kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Msajili wa kwanza wa Vyama vya Siasa nchini,...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Rais Kikwete aongoza mazishi ya mbunge
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya wakazi wa Chalinze, Pwani kwenye mazishi ya mbunge wao, Said Bwanamdogo, aliyezikwa kwenye Kata ya Mioni, Bagamoyo. Bwanamdogo alifariki dunia Januari 22 mwaka huu...
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Rais Kikwete aongoza waombolezaji mazishi ya Kisumo
Na Upendo Mosha, Mwanga
RAISI Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya wananchi katika mazishi wa mwasisi wa chama cha TANU na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo yaliyofanyika katika Kijiji cha Kirongwe wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Ibada ya mazishi ilifanyika katika Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare ambako ibada ya mazishi iliongozwa na aliyekuwa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Dk. Marth Shao.
Rais Kikwete aliwasili kijijini hapo saa...
10 years ago
Vijimambo08 Feb
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA BI.TAJIRI TANGA
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/jk1.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/jk2.jpg)
9 years ago
StarTV08 Oct
Rais Kikwete aongoza waombolezaji kuuga mwili wa marehemu
Rais Jakaya Kikwete amewaongoza waombolezaji waliojitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha Democratic, mchingaji Christopher Mtikila katika viwanja vya karimjee jijini Dar es salaam.
Mchungaji Mtikila alifariki dunia October nne katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Msolwa Chalinze alipokuwa akitokea Iringa kwenye mikutano ya kampeni ya wabunge na udiwani kupitia chama chake.
Baada ya viongozi mbalimbali wa serikali, dini na vyama vya siasa kutoa pole kwa wafiwa Makamu...