Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete atoa changamoto sekta binafsi kujihusisha zaidi na mapambano dhidi ya Ukimwi

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI ATOA NENO KWA VIONGOZI WAKUU WA DINI KUHUSU MAPAMBANO DHIDI VIRUSI VYA UKIMWI, UNYANYAPAA

 Na Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamiSPIKA wa Bunge Job Ndugai ameziomba  taasisi za dini pamoja na viongozi wakuu wa dini zote kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI huku akitoa rai ya kuondoa unyanyapaa kwa wanaoishi na virusi vya UKIMWI.
Ametoa ombi hilo jijini Arusha wakati akifungua mkutano maalum ulioandaliwa na ofisi yake kupitia NACOPHA chini ya mradi wa Hebu Tuyajenge unaofadhiliwa na USAID kutoka kwa watu wa Marekani. Mutano huo...

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete aihakikishia sekta binafsi uwezeshaji zaidi

RAIS Jakaya Kikwete ameihakikishia sekta binafsi kuwa serikali ijayo itaendelea kuwawezesha watanzania kushiriki zaidi katika uchumi kwa kuendelea kuboresha mazingira ya kufanya biashara na kuvutia zaidi wawekezaji.

 

11 years ago

Habarileo

JK ataka sekta binafsi kukabili Ukimwi

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi kujihusisha zaidi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, kwa sababu ugonjwa huo unaathiri uchumi, biashara na kuongeza mzigo wa gharama za uzalishaji kwa kampuni.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Kampeni Dhidi ya Ukimwi Kilimanjaro

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi hundi ya jumla ya Shilingi Milioni miamoja na Hamsini 150m/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Moyo wa Huruma kilichopo mkoa wa Geita.
Fedha hizo si sehemu ya shilingi milioni mia saba(700m/-) alizokabidhi Rais Kikwete jana usiku kwa taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na mapambano dhidi ya ukimwi Tanzania.Fedha hizo zinatokana na kampeni ya kukusanya fedha kwa njia ya kupanda mlima Kilimanjaro kila mwaka ambapo wafadhili...

 

9 years ago

StarTV

Mapambano dhidi ya Ukimwi Kamati za Shehia zatakiwa kujengewa uwezo

Uwezeshaji wa kamati za shehia na kuzijengea uwezo katika kupambana na udhalilishaji wa kijinsia na mapambano ya vitendo vinavyosababisha maambukizi ya virusi vya ukimwi ni njia muhimu inayoweza kuiepusha jamii na majanganga yanayowaathiri zaidi vijana.

Uundaji wa kamati katika shehia na ufuatiliaji unahitajika ili kuishirikisha jamii moja kwa moja hasa ikizingatiwa kuwa pamoja na jitihada za wadau mbalimbali juu ya matatizo hayo  bado yanaendelea  kwa kasi.

Shehiya ya Koani iliopo wilaya ya...

 

9 years ago

StarTV

Mapambano Dhidi Ya Rushwa Takukuru yakabiliwa na changamoto ya mashahidi

 

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mtwara imesema bado changamoto ya upatikanaji wa mashahidi katika kesi mbalimbali imeendelea kuwepo kutokana na mashahidi wengi kushindwa kujitokeza na wengine kubadilika kutokana na kuogopa vitisho kutoka kwa watuhumiwa.

Kutokana na changamoto hiyo kesi nyingi zinalazimika kufutwa na nyingine kubadilika.

Mkuu wa Taasisi  kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru wa Mkoa wa Mtwara Edson Makala  anasema Baadhi ya kesi zilalazimika...

 

10 years ago

Michuzi

ASASI YA "AIDS - free" KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI NDANI YA JESHI LA MAGEREZA

Mkurugenzi wa Mradi wa "AIDS free", Bw. Samson Kironde(wa pili kushoto) akitoa maelezo mafupi namna mradi huo utakaotekelezwa ndani ya Jeshi la Magereza na Polisi katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika Ofsini kwa Kamishna Jenerali wa Magereza leo februari 20, 2015(wa pili kulia) ni Mkurugenzi wa Operesheni na Fedha, Bw. Mike Hames(wa kwanza kushoto) ni Afisa Mwandamizi anayeshughulikia masuala ya UKIMWI kutoka USAID, Bw. Erick Mlang'ha. Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA HATI ZA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI, WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI IKULU JIJINI DAR ES ES SALAAM LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi baada ya kuweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani