Mapambano Dhidi Ya Rushwa Takukuru yakabiliwa na changamoto ya mashahidi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mtwara imesema bado changamoto ya upatikanaji wa mashahidi katika kesi mbalimbali imeendelea kuwepo kutokana na mashahidi wengi kushindwa kujitokeza na wengine kubadilika kutokana na kuogopa vitisho kutoka kwa watuhumiwa.
Kutokana na changamoto hiyo kesi nyingi zinalazimika kufutwa na nyingine kubadilika.
Mkuu wa Taasisi kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru wa Mkoa wa Mtwara Edson Makala anasema Baadhi ya kesi zilalazimika...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Mar
TAKUKURU Singida yawapiga msasa waandishi mapambano dhidi ya rushwa
Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Joshua Msuya,akifungua mafunzo ya ushirikishwaji waandishi wa habari katika mapambano dhidi ya rushwa yaliyohudhuriwa na wanachama wa Singida Press Club mkoa wa Singida.Mafunzo hayo ya siku moja,yalifanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa TAKUKURU mjini hapa.Wa kwanza kushoto ni kaimu mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Singida,Jaffar Uledi na kulia ni Domina Mukama mratibu wa usimamiaji na utekelezaji wa miradi ya maendeleo (PETS coordinator).
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Rais Magufuli hajaridhishwa mapambano ya rushwa, kaigeukia TAKUKURU December 15
Bado Rais Magufuli anaendelea kuipanga Serikali ya awamu ya tano ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa kwenye utawala wake na kazi inakwenda. Tuhuma za rushwa na ubadhirifu zimekuwa nyingi, baada ya ishu ya makontena bandarini, ukwepaji kodi TRA, kaigeukia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU. Rais Magufuli amefanya mabadiliko Taasisi ya TAKUKURU na kutengua […]
The post Rais Magufuli hajaridhishwa mapambano ya rushwa, kaigeukia TAKUKURU December 15 appeared first on...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ZleUors0eTY/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Mapambano dhidi ya rushwa : Tujifunze toka Rwanda
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Sera, sheria dhaifu, rushwa ni kikwazo katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini
Mtumiaji wa kujinduga akitumia dawa hizo.
Baadhi ya watumiaji wa dawa za kulevya wakihudhuria moja semina zinazoendeshwa nchini.
Na Damas Makangale, Makangale Satellite Blog
“Kila mwaka idadi ya watumiaji wa dawa za kulevya nchini hasa kwa vijana wenye umri mdogo kabisa kati ya miaka 15 mpaka 25 inakadiliwa kufika 10,000 hadi 11,000 kila mwaka nchini ni idadi kubwa na hali inatisha,’ anasema Afisa kutoka Kitengo cha Kudhibiti dawa za kulevya nchini, Moza Makumbuli
Wiki iliyopita Kitengo...
11 years ago
Michuzi04 May
10 years ago
Habarileo10 Oct
Takukuru mashahidi 15 kesi ya vigogo MSD
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inatarajia kuwa na mashahidi 15 na vielelezo 12 katika kesi ya kuingiza vipimo bandia vya Virusi vya Ukimwi (HIV) inayowakabili vigogo wa Bohari ya Dawa (MSD) na wenzao.
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
SAWAKA yakabiliwa na changamoto lukuki
SHIRIKA la Saidia Wazee Karagwe (SAWAKA), Mkoa wa Kagera, linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa huduma za afya, ushirikina, ukosefu wa vipato na kukosekana kwa mfuko wa jamii ya...
10 years ago
StarTV10 Feb
Kesi zinazohusu Kemikali, Ofisi ya Mkemia mkuu yakabiliwa na changamoto.
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
Mkemia mkuu wa serikali Profesa Samwel Manyele amesema kuwa bado ofisi yake inakabiliwa na changamoto ya uchukuaji wa vielelezo pindi kunapojitokeza kesi zinazohusishwa na kemikali za mbalimbali ikiwemo dawa za kulevya kutokana na uhifadhi wa unaotumika kutoka katika eneo la tukio.
Profesa Manyele aliyasema hayo katika ufunguzi wa ofisi ya mkemia mku itakayofanyakazi katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa ajili ya kusogeza huduma kwa wananchii.
Katika...