Kesi zinazohusu Kemikali, Ofisi ya Mkemia mkuu yakabiliwa na changamoto.
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
Mkemia mkuu wa serikali Profesa Samwel Manyele amesema kuwa bado ofisi yake inakabiliwa na changamoto ya uchukuaji wa vielelezo pindi kunapojitokeza kesi zinazohusishwa na kemikali za mbalimbali ikiwemo dawa za kulevya kutokana na uhifadhi wa unaotumika kutoka katika eneo la tukio.
Profesa Manyele aliyasema hayo katika ufunguzi wa ofisi ya mkemia mku itakayofanyakazi katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa ajili ya kusogeza huduma kwa wananchii.
Katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMKEMIA MKUU ABORESHA MATUMIZI YA KEMIKALI ZA MAABARA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwHz-0uoUVswUKBuUmKTJ-CHS*0qK8S5tJukQky2eA9XZE3YENDay5ESsGuex7ORKBzwA9LSB3sRGZnqm-EtdXpv/1.jpg?width=650)
OFISI YA MKEMIA MKUU YATOA TAARIFA YA DAWA ZA KULEVYA YA MWAKA 2013 NCHINI
10 years ago
StarTV16 Dec
Changamoto Serikali za Mitaa, Ofisi ya Waziri Mkuu lawamani.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es salaam.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimedai kinakusudia kutoa maamuzi na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia kwa kushindwa kudhibiti kasoro zilizojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Katika uchaguzi huo ulifanyika Desemba 14 mwaka huu chama hicho kinadai kufanyiwa hujuma zilizochangia kujitokeza baadhi ya kasoro ikiwemo ya kutokamilika kwa vifaa vya kupigia kura katika...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
SAWAKA yakabiliwa na changamoto lukuki
SHIRIKA la Saidia Wazee Karagwe (SAWAKA), Mkoa wa Kagera, linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa huduma za afya, ushirikina, ukosefu wa vipato na kukosekana kwa mfuko wa jamii ya...
9 years ago
StarTV05 Jan
Mapambano Dhidi Ya Rushwa Takukuru yakabiliwa na changamoto ya mashahidi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mtwara imesema bado changamoto ya upatikanaji wa mashahidi katika kesi mbalimbali imeendelea kuwepo kutokana na mashahidi wengi kushindwa kujitokeza na wengine kubadilika kutokana na kuogopa vitisho kutoka kwa watuhumiwa.
Kutokana na changamoto hiyo kesi nyingi zinalazimika kufutwa na nyingine kubadilika.
Mkuu wa Taasisi kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru wa Mkoa wa Mtwara Edson Makala anasema Baadhi ya kesi zilalazimika...
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Shule ya msingi Misufini yafikisha miaka 40, yakabiliwa na changamoto kubwa
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Mazingira Mbalimbali ya Shule ya Msingi Misufini. kwenye Sherehe za Mazimisho ya Miaka 4o Tangu kuanzishwa Kwa Shule ya Msingi Misufini Iliyopo Manispaa ya Morogoro.Katika Maadhimisho Hayo Mbunge wa Jimbo Hilo alifanya Ukaguzi na Kuikuta Shule Hiyo Ikiwa Katika Hali Mbaya Vyumba vya Madarasa ni Chakavu,Havina Milango Wala Madirisha Licha Ya shulie Hiyo Kuafulisha wanafunzi kwa Kiwango Kikukbwa Ndani ya Wilaya ya Morogoro Mjini.
10 years ago
VijimamboSHULE YA MSINGI MISUFINI YAFIKISHA MIAKA 4O,YAKABILIWA NA CHANGAMOTO KUBWA,AICHANGIA MILIONI 4
11 years ago
Habarileo26 Feb
Mkemia Mkuu, mahakama walaumiwa
WADAU wa Tume ya Ushindani (FCC) wameilaumu Mahakama na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, kuwa si wafuatiliaji na wanazorotesha kesi za wafanyabiashara wanaouza bidhaa bandia.
11 years ago
Habarileo26 Feb
Mkemia Mkuu waidai polisi bilioni 1.2/-
OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali inaidai Jeshi la Polisi deni la Sh bilioni 1.2 linalotokana na sampuli wanazozipeleka kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na kupatikana kwa majibu kwenye vielelezo vya kesi mbalimbali.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10