Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE ATUMAINI KUVUMBUA JINSI YA KUIMARISHA UTAYARI WA JAMII DHIDI YA MAJANGA YA AFYA.



Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania akihojiwa na Priscilla Lecomte wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa. (Picha: UN/JosephMsami)

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Mataifa la kusaka jinsi dunia inaweza kukabiliana na magonjwa ya mlipuko kwa siku za usoni, amesema leo kwamba anatarajia kutoa mapendekezo juu ya mapugunfu yaliyoonekana wakati wa kupambana na Ebola.Akihojiwa na Priscilla Lecomte na Jospeh Msami wa idhaa hii, ameeleza kwamba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK atumaini kuvumbua jinsi ya kuimarisha utayari wa jamii dhidi ya majanga ya afya.

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania akihojiwa na Priscilla Lecomte wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa. (Picha: UN/JosephMsami)Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Mataifa la kusaka jinsi dunia inaweza kukabiliana na magonjwa ya mlipuko kwa siku za usoni, amesema leo kwamba anatarajia kutoa mapendekezo juu ya mapugunfu yaliyoonekana wakati wa kupambana na Ebola.Akihojiwa na Priscilla Lecomte na Jospeh Msami wa idhaa hii, ameeleza kwamba...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi ya kuimarisha afya yako ya akili wakati wa marufuku ya kutotoka nje

Taarifa za mara kwa mara kuhusu janga la coronavirus linavyowaathiri ulimwengu zimesababisha baadhi ya watu kuwa na hofu

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akagua utayari wa Tanzania kukabiliana na Ebola

kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Septemba 9, 2014, amekagua huduma na vifaa, pamoja na maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola, ili kujiridhisha na utayari wa Tanzania dhidi ya tishio kubwa la ugonjwa huo.

Mara tu baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar Es Salaam, akitokea Dodoma, Rais Kikwete amekwenda moja kwa moja...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAHAIDI KUZIDI KUPIGA JEKI WAFANYAKAZI WA AFYA YA JAMII KUBORESHA AFYA YA JAMII VIJIJINI

 Na Mwandishi Wetu,SERIKALI ya Tanzania imeelezea utayari wake wa kupiga jeki na kuwajumuisha wafanyakazi wa afya ya jamii katika nguvukazi ya sekta ya afya (national health workforce) ya taifa ili kuboresha afya ya jamii hususani katika maeneo ya vijijini.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau wa mradi wa mafunzo ya wafanyakazi wa afya ya jamii (Community Health Worker Learning Agenda Project - CHW-LAW) jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji (idara ya uzazi na afya ya mtoto)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais wangu Kikwete, Mwaka 2013 ulikuwa ni majanga!

RAIS wangu tunapoufungua mwaka 2014 na kuufunga mwaka 2013 tunapata fursa nyingine ya kujitafakari na kuyapima yote tuliyoyafanya kwa mwaka mzima uliopita. Tujiulize, ni kwa jema lipi tutakumbukwa au ni...

 

9 years ago

Michuzi

CHAMA CHA AFYA YA JAMII (TPHA) CHATOA ELIMU DHIDI YA KUPAMBANA NA TUMBAKU KWA VIJANA WADOGO DAR

Mratibu wa Mradi wa Madhara ya Tumbaku (TPHA) Dk. Bertha T.A. Maegga akizungumza wakati akifungua kongamano hilo lililo washirikisha wadau mbalimbali kwa kutoa muhutasari wa Madhara ya Tumbaku. (Picha na Geofrey Adroph).
Na Andrew Chale, modewjiblog [Dar es Salaam] 
CHAMA cha Afya ya Jamii nchini (TPHA), kimeendesha kongamano maalum kwa wanafunzi wa shule msingi zaidi ya Saba ndani ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kutoa elimu ya madhara yatokanayo na utumiaji wa bidhaa za Tumbaku pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif S.Rshid akishiriki mkutano wa mapambano dhidi ya UKIMWI,Malaria na TB Marekani

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif S.Rshid(Mb), akishiriki mkutano  ambao ulijadili juu ya mapambano dhidi ya magonjwa Kama UKIMWI,Malaria na TB.walijadili jinsi ya kuimarisha huduma za kuwafikia wananchi Wengi zaidi kwa kutumia rasilimali zilizopo. Washiriki wengine wanaoonekana katika picha hii ni katibu mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Donnan Mmbando(kulia kwa waziri), Mkurugenzi mtendaji wa mfumo wa Dunia wa kupambana na UKIMWI, Malaria na Kifua Kikuu. Dkt.Mark Dybul...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI


RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.

Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani