Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete awasili nchini akitokea London

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa mwalimu Julius Nyerere akitokea London Uingereza ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani.Mkutano huo uliandaliwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles.(picha na Freddy Maro)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili nchini akitokea Toronto Canada

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea Toronto Canada ambapo yeye na mwenyeji wake waziri Mkuu wa Canada Stephen Harper waliongoza mkutano wa kimataifa uliohusu kuboresha afya ya wanawake na watoto na kupunguza vifo vya wanawake wanapojifungua.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS UHURU KENYATTA AWASILI NCHINI KENYA AKITOKEA MAHAKAMA YA ICC

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya (kushoto) akilakiwa na Makamau wa Rais, William Ruto alipowasili JKIA leo alfajiri akitokea The Hague.Rais Uhuru Kenyatta pamoja na Mkewe wakisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa waliofika kuwapokea mara tu alipowasili toka kwenye mahama ya ICC na yeye kuwa kiongozi wa kwanza akiwa madarakani kushitakiwa na mahakama hiyo.Rais Uhuru Kenyatta na mkwewe wakisalimiana na viongozi mbalimbaliRais Uhuru Kenyatta na mkewe wakiendelea kusalimiana na viongozi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif awasili nchini akitokea Italy

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Italy tarehe 15/07/2015 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,akisalimiana na viongozi wa serikali wakati alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Italy Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,akisalimiana na viongozi wa serikali wakati alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea ItalyMakamu wa Kwanza wa Rais...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kesho mjini Maputo. Bwana Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto Guebuza anayemaliza muda wake.(Picha na Freddy Maro)

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha na Ikulu)

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif Awasili Zanzibar Akitokea Ziarani Nchi Qatar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Marubani wa Ndege ya Serekali baada ya kuwasili uwanja wa Kamataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Qatar alikokuwa na ziara ya Kiserekani Nchini humo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akivishwa shada la mauwa na Vijana walioandaliwa wakati wa mapokezi yake baada ya kumaliza ziara yake Nchi Qatar Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI PRETORIA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE JACOB ZUMA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa kuamkia leo Mei 24, 2014 tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe Jacob Zuma leo Jumamosi Mei 24, 2014 katika Nelson Mandela Amphitheater (kumbi wa wazi wa Nelson Mandela) ambapo viongozi toka nchi 40 pamojan na Marais Wastaafu sita wanahudhuria.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AWASILI ZAMBIA

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia mara tu alipowasili mapema leo akiambatana na mkewe.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wawasili katika uwanja wa ndege wa kimatIFA wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia na kupokewa na mwenyeji wa Rais Edgar Lungu wa Zambia leo asubuhi kwa ziara ya kikazi ya siku mbiliRais Kikwete na Rais Lungu wa Zambia wakipokea heshima ya mizinga 21.
Picha na Freddy Maro

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AWASILI SALAMA MKOA WA KATAVI USIKU HUU AKITOKEA KIGOMA.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia kwa ufupi wakazi wa mji wa Karema mkoani Katavi usiku huu mara baada ya kuwasili akitokea mkoani Kigoma kwa boti na kusafiri nayo ndani ya ziwa Tanganyika takribani kwa masaa kumi na manne.Kutokana na safari hiyo kuwa ndefu ya majini,inaelezwa kuwa kuna baadhi ya Watu wamedai msafara wa Katibu Mkuu huyo,Kinana umepotea ziwa Tanganyika,jambo ambalo si la kweli na la kizushi. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwapungia wenyeji wake (hawapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani