Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete awasilisha Ripoti ya Kamati ya viongozi Juu ya Mabadiliko ya Tabia Nchi

Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi wa Afrika Juu ya mabadiliko ya Tabia nchi,Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasilisha ripoti ya utendaji wa kamati hiyo katika mkutano wa Viongozi wa Umoja wa Afrika uliofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia.Mkutano huo ulimalizika jana Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi wa Afrika Juu ya mabadiliko ya Tabia nchi(The Committee of African Heads of State and governments on Climate change) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimakabidhi nakala ya Ripoti ya utendaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aongoza mkutano wa kamati ya viongozi wa Afrika kuhusu Tabia nchi

mm2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano wa Kamati ya Viongozi wa Afrika Kuhusu Tabia Nchi  ulioitishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon pembeni mwa mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika mjini Malabo, Equatorial Guinea leo Juni 27, 2014.(PICHA NA IKULU).

mm6

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA PILI YA WARSHA YA WADAU JUU YA MIPANGO YA KUHIMILI MABADILIKO YA TABIA NCHI

 Bwana Masinde Bwire kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira akiwasilisha mada juu ya mabadiliko ya Tabia Nchi kwenye warsha ya Wadau kuhusu mipango ya kuhimili mabadiliko ya tabianchi iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais. Profesa Kangarawe akiwasilisha mada katika warsha hiyo mjini Bagamoyo. Sehemu ya Wadau waliohudhuria wrsha hiyo wakifuatilia kwa makini uwasilishaji mada juu ya mabadiliko ya Tabia Nchi. Wajumbe waWarsha hiyo wakiwa katika magrupu kwa ajili ya kujadili...

 

10 years ago

Vijimambo

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA SEMINA YA MABADILIKO WA TABIA NCHI KWA WADAU

Sehemu ya Washiriki wa semina ya mabadiliko ya Tabia Nchi inayofanyika mjini Morogoro. Semina hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa RaisMgeni Rasmi ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,Bwana Sazi Salula akifungua semina hiyo ya mabadiliko ya tabia Nchi.

Mtoa mada katika semina hiyo ya mabadiliko ya tabia nchi Dkt. Yohanna Shaghude akiwasilisha mada kwa Washiriki waliohudhuria semina hiyoMgeni Rasmi ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula akiwa katika picha...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI NCHINI WATAKIWA KUSHIRIKI MKUTANO MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NCHINI ETHIOPIA

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
VIONGOZI nchini wametakiwa kushiriki katika mkutano wa mabadiliko ya tabia ya nchi utakaofanyika Julai 13 na 16 Addis Ababa Ethiopia.


Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi (CAN),Sixsbaty Mwanga amesema mkutano huo ni muhimu kutokana hali iliyopo sasa katika mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kuongezeka ukame ,njaa pamoja na mafuriko, hivyo viongozi wanaweza kushawishi mkutano katika kuongeza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nchi wahisani watoa dola za Marekani milioni 802.15 kukabili mabadiliko ya tabia nchi

IMG_1116

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi wa mtandao wa FANPRAN, Sithembile Ndema kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

JUMLA ya dola za Marekani milioni 802.15 zimetolewa na nchi wahisani katika kusaidia mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika kipindi cha miaka miaka mine iliyopita.

Hayo...

 

10 years ago

Michuzi

ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi nchini peru

 Kushoto Waziri mh. Fatma  Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Kulia Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira mh.dkt Binilith Mahenge wakifuatilia hotuba ya katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Bw Ban ki Moon hayupo pichani katika ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi ulihusisha viongozi wa juu marais na mawaziri..(High level segment) mjini Lima, Peru. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 20 WA KIMATAIFA KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI DUNIANI (COP 20) UNAOENDELEA JIJI LIMA NCHINI PERU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana Desemba 09, 2014 amemuwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mwenyekiti Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali Barani Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi, kwenye mkutano wa Kimataifa wa Mazingira Duniani (Cop20) unaofanyika jijini Lima, Peru.Pamoja na shughuli nyingine ambazo zimemuhusisha Mheshimiwa Makamu wa Rais Dkt. Bilal katika Mkutano huo ikiwa pamoja na kuwa eneo la Mazingira nchini liko chini ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania na mabadiliko ya tabia nchi

Mabadiliko ya hali ya hewa yamekuwa yakileta madhara duniani ,nchini Tanzanian mamlaka ya hali ya hewa imetoa taarifa kwa uuma

 

10 years ago

BBCSwahili

Mabadiliko ya tabia ya nchi kupata Dawa?

Rais wa Marekani, Barack Obama amezindua kile alichokiita hatua muhimu zaidi ya kupambana na mabadiliko ya tabia nchi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani