Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete hakuitendea haki tume ya Jaji Warioba

KILE kilichokuwa kikipiganiwa na Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, hadi kuvunja kanuni za Bunge hilo, kimedhihirika jana. Bado tunakumbuka jinsi Sitta alivyovunja kanuni kwa makusudi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (aliyesimama pembeni) ,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014  Rais Jakaya Mrisho...

 

5 years ago

Michuzi

Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu



Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea na kuaga rasmi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake kwa viongozi na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika ukumbi wa mikutano wa Haki House makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bwana Tom Nyanduga wakati Rais alipotembelea na kuzungumza na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo. Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mh.Tom...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanzo, mwisho Tume ya Jaji Warioba

Safari ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kukusanya na kuchambua maoni kwa ajili ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefikia tamati.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Mchome aipongeza Tume ya Warioba

Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Lawrence Mchome ameipongeza Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa kukubali kuingiza katika Katiba Mpya ibara inayotaka kuanzishwa kwa Mahakama ya Juu nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Tume ya Jaji Warioba yatia fora Dar

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema mambo yanayotokea sasa nchini, kama viongozi kuwa na akaunti nje ya nchi na kudai ni ‘vijisenti’, Serikali kuingia mikataba yenye utata isiyohojiwa popote ni matokeo ya nchi kuwa na Katiba yenye maswali mengi kuliko majibu.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atumia Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Jaji Lewis Makame



Marehemu Jaji Mstaafu,Lewis Makame enzi za uhai wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za  Rambirambi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, National Electoral Commission (NEC) kufuatia taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame kilichotokea katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Agosti, 2014. 
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani