Rais Kikwete kuzindua benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Thomas Samkyi, (pichani kati) akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Benki hiyo,Kinondoni kuhusu uzinduzi wa benki hiyo utakaofanyika Agosti 8, 2015,jijini Dar. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mipango na Sera, Bwana Francis Assenga, na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki, Bi Rosebud Violet Kurwijila.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Bi Rosebud Violet Kurwijila akifafanua jambo mbele ya ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AZINDUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB) DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-w-TYYZdSbyY/VcSLmAbQvhI/AAAAAAAHvBc/ZOB2JfSS3GI/s72-c/Akq5-M0atK4YY9ikbEIIc563v1BnKOFFBqVzbrDa5QsR.jpg)
RAIS KIKWETE AZINDUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-w-TYYZdSbyY/VcSLmAbQvhI/AAAAAAAHvBc/ZOB2JfSS3GI/s640/Akq5-M0atK4YY9ikbEIIc563v1BnKOFFBqVzbrDa5QsR.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Cxd6Ymt_sYs/VMywkVF5c2I/AAAAAAAHAgA/09DW3oEOhus/s72-c/unnamed%2B(26).jpg)
warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-Cxd6Ymt_sYs/VMywkVF5c2I/AAAAAAAHAgA/09DW3oEOhus/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3a417g2wFyw/VMywc-Ek_yI/AAAAAAAHAf4/nRPrFqscG4A/s1600/unnamed%2B(20).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rBtvKRurUGI/VMywoulaVMI/AAAAAAAHAgU/rxnhJgCeMmg/s1600/unnamed%2B(25).jpg)
10 years ago
Habarileo06 Aug
JK kuzindua benki ya kilimo
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuzindua rasmi benki ya kwanza ya Maendeleo ya Kilimo nchini kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam kesho.
10 years ago
Dewji Blog05 Aug
Benki ya Maendeleo ya Kilimo yashiriki Nanenane Kitaifa mkoani Lindi
Mmoja wa wafanyakazi wa benki ya Maendeleo ya Wakulima, Geofrey Mtawa akizungumza na moja ya wadau waliotembelea banda lao katika maonyesho ya Nanenane.
Na Mwandishi wetu
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania inashiriki maonesho ya kilimo ya Nanenane kitaifa kwa mara ya kwanza mkoani Lindi mwaka huu kwa lengo la kutambulisha huduma zake kwa wadau wake wakuu, wakulima.
Katika maonesho hayo yaliyofunguliwa rasmi jana jumanne na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda, benki hiyo inatoa...
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) yafanya Bonanza la Nanenane mkoani Lindi
Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Bi. Miriam Mtima akizungumza wakati wa kufungua bonanza la Nanenane lilioandaliwa na benki ya Maendeleo ya Wakulima (TADB), jana mkoani Lindi.
Mkurugenzi wa Mikopo wa benki ya Maendeleo ya Wakulima, Bwana Robert Paschal akitoa hotuba ya ufunguzi wakati wa uzinduzi wa bonanza la Nanenane katika viwanja vya Ilulu mkoani Lindi jana.
Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Bi Miriam Mtima akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa bonanza la...
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Rais Kikwete azindua benki ya kwanza ya Wakulima Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua benki ya Maendeleo ya Kilimo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa benki ya Maendeleo ya Kilimo.
Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo, Thomas Samkyi akizungumza wakati wa uzinduzi wa benki ya wakulima Tanzania (TADB), uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu JK Nyerere.
Mwenyekiti wa Bodi ya benki ya...
11 years ago
Habarileo26 Jan
Tanzania yasifiwa kwa Benki ya Kilimo
PROFESA wa Uchumi anayeheshimika duniani amesifu uamuzi wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuanzisha Benki ya Kilimo. Mtaalamu huyo Profesa Jeffrey Sachs amesema kwa karibu muongo wa jitihada za dunia kuboresha kilimo katika Afrika, hakuna jambo zuri zaidi limefanyika kama uamuzi wa kuanzisha benki hiyo.