Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yasifiwa kwa Benki ya Kilimo

PROFESA wa Uchumi anayeheshimika duniani amesifu uamuzi wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuanzisha Benki ya Kilimo. Mtaalamu huyo Profesa Jeffrey Sachs amesema kwa karibu muongo wa jitihada za dunia kuboresha kilimo katika Afrika, hakuna jambo zuri zaidi limefanyika kama uamuzi wa kuanzisha benki hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Tanzania yasifiwa kwa uchumi wa viwanda

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda.TANZANIA imesifiwa kwa kuonesha nia ya kuelekea kwenye uchumi wa viwanda baada ya kufanya jitihada za uboreshaji wa miundombinu tofauti, ikiwemo barabara na ujenzi wa bomba ya gesi kwa ajili ya matumizi ya viwandani na majumbani.

 

10 years ago

Michuzi

warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Thomas Samkyi akizungumza katika warsha juu ya kujadili mpango wa maendeleo wa taasisi hiyo kwa miaka 25 ijayo. Warsha hiyo ilifanyika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam.Mkuu wa Mipango, Sera na Ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Francis Assenga akizungumza na wadau katika mkutano huo.Wadau wa sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji wakifuatilia warsha ya mpango wa maendeleo wa miaka 25 wa benki...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete kuzindua benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Thomas Samkyi, (pichani kati) akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Benki hiyo,Kinondoni kuhusu uzinduzi wa benki hiyo utakaofanyika Agosti 8, 2015,jijini Dar. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mipango na Sera, Bwana Francis Assenga, na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki, Bi Rosebud Violet Kurwijila. Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Bi Rosebud Violet Kurwijila akifafanua jambo mbele ya ...

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania yasifiwa

Innocent MungyTANZANIA imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kufanikiwa kukamilisha kwa kiasi kikubwa matumizi ya dijitali.

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUUNGANA KWA BENKI YA NIC TANZANIA NA BENKI YA COMMECIAL BANK OF AFRICA TANZANIA

KUUNGANA KWA BENKI YA NIC TANZANIA NA BENKI YA COMMECIAL BANK OF AFRICA TANZANIA KUUNDA BENKI MPYA YA NCBA TANZANIA LIMITED KUANZIA TAREHE 8 MWEZI JULAI, 2020

Kibali cha kuungana kutoka kwa mamlaka husika tayari vimeshapokelewa

Benki ya NIC Bank Tanzania Limited (NIC) na benki ya Commercial Bank of Africa (Tanzania) Limited (CBA) imeshapokea vibali vyote kuungana na kuanza kutoa huduma kuanzia tarehe 8 mwezi Julai mwaka 2020 kama benki ya NCBA Bank Tanzania Limited.

Uunganaji utafanyika kwa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Hongera Serikali kwa kuanzisha benki ya kilimo

SERIKALI hivi karibuni imetangaza kuanzisha benki maalumu ya maendeleo ya kilimo.

Benki hiyo inajulikana kwa jina la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).

Benki hiyo bado haijaanza kazi ikisubiri kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hata hivyo,  imekwisha kuanza mchakato wa kutafuta wafanyakazi watakaotoa huduma.

Kwa mujibu wa serikali, pamoja na mambo mengine madhumuni makuu ya kuanzishwa kwa benki hii ni kurahisisha upatikanaji wa mikopo katika sekta ya kilimo ili...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB) DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akihutubia wakati akizindua Benki ya Maendeleo ya Kilimo Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya na Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira. Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa benki hiyo. Uzinduzi wa awamu ya pili wa benki hiyo utafanyika kesho kwenye maonyesho ya Nanenane kitaifa mkoani Lindi.  Rais Jakaya Kikwete, akivuta pazia kuashiria...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yasifiwa kufungua ofisi ya TPA Lubumbashi

SERIKALI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), imesifu hatua ya Tanzania kufungua ofisi ndogo ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari (TPA), kwamba ni ya kizalendo na inayothibitisha uhusiano mzuri uliopo baina ya nchi hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani