Tanzania yasifiwa kufungua ofisi ya TPA Lubumbashi
SERIKALI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), imesifu hatua ya Tanzania kufungua ofisi ndogo ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari (TPA), kwamba ni ya kizalendo na inayothibitisha uhusiano mzuri uliopo baina ya nchi hizo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 May
DRC wahamasishwa kutumia ofisi za TPA Lubumbashi
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--7aelhzPnWs/U2ihZWq9LiI/AAAAAAAFf2g/PJ-f-YB2Md8/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Wafanyabiashara DRC wapata matumaini ofisi ya TPA Lubumbashi
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zbQlG6oCWOc/U2OVGe1hqZI/AAAAAAAFe5M/fq8dPKH45qk/s72-c/MWAHER.jpg)
Wafanyabiashara DRC wahamasishwa kutumia ofisi mpya za TPA Lubumbashi
![](http://3.bp.blogspot.com/-zbQlG6oCWOc/U2OVGe1hqZI/AAAAAAAFe5M/fq8dPKH45qk/s1600/MWAHER.jpg)
Serikali ya Tanzania imesema imedhamiria kuhakikisha wafanyabiashara toka Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo wanaotumia bandari ya Dar es Salaam wanapata huduma nzuri kwa faida ya nchi zote mbili.
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe amesema wakati wa uzinduzi wa ofisi ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lubumbashi, DRC kuwa wizara yake na bandari ya Dar es Salaam watahakikisha kuwa huduma za bandari zinasogezwa karibu na...
10 years ago
Habarileo01 Jun
TPA kuanza kuboresha huduma Lubumbashi
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema itahakikisha huduma zinazotolewa katika ofisi yake ndogo mjini Lubumbashi, zinaimarishwa kwa manufaa ya Tanzania na nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC).
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-SmHfEQvA8lY/VZuDp7byI_I/AAAAAAAHnbk/BjDs7ya1u_I/s72-c/lu.jpg)
ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) yazinduliwa mjini Lusaka, zambia
![](http://2.bp.blogspot.com/-SmHfEQvA8lY/VZuDp7byI_I/AAAAAAAHnbk/BjDs7ya1u_I/s640/lu.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-17Tu_-eRlg8/VZuCy1FiZDI/AAAAAAAHnbY/HFV3w_hFdY8/s640/unnamed%2B%252859%2529.jpg)
10 years ago
Habarileo03 Apr
Tanzania yasifiwa
TANZANIA imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kufanikiwa kukamilisha kwa kiasi kikubwa matumizi ya dijitali.
11 years ago
Habarileo26 Jan
Tanzania yasifiwa kwa Benki ya Kilimo
PROFESA wa Uchumi anayeheshimika duniani amesifu uamuzi wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuanzisha Benki ya Kilimo. Mtaalamu huyo Profesa Jeffrey Sachs amesema kwa karibu muongo wa jitihada za dunia kuboresha kilimo katika Afrika, hakuna jambo zuri zaidi limefanyika kama uamuzi wa kuanzisha benki hiyo.
10 years ago
Habarileo09 Jul
Tanzania yasifiwa kwa uchumi wa viwanda
TANZANIA imesifiwa kwa kuonesha nia ya kuelekea kwenye uchumi wa viwanda baada ya kufanya jitihada za uboreshaji wa miundombinu tofauti, ikiwemo barabara na ujenzi wa bomba ya gesi kwa ajili ya matumizi ya viwandani na majumbani.
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Baraza Ewura kufungua ofisi mikoani
BARAZA la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura CCC) limesema mwaka huu wa fedha linatarajia kufungua ofisi katika ngazi ya mikoa ili huduma zake ziwafikie watumiaji wa huduma...