Wafanyabiashara DRC wapata matumaini ofisi ya TPA Lubumbashi
![](http://3.bp.blogspot.com/--7aelhzPnWs/U2ihZWq9LiI/AAAAAAAFf2g/PJ-f-YB2Md8/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Na Mwandishi wetu, Lubumbashi
Wafanyabiashara wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) wamesema wana matumaini makubwa na hatua ya Tanzania kufungua ofisi ndogo ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari (TPA) mjini Lubumbashi, jimbo la Katanga nchini humo. Wakiongea kwa niaba ya wenzao baada ya kuzinduliwa kwa ofisi hiyo hivi karibuni, wafanyabiashara hao wanaopitisha mizigo yao katika bandari ya Dar es Salaam, wamesema kuanzishwa kwa ofisi hiyo kumekuja wakati muafaka na kuwa itawarahisishia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zbQlG6oCWOc/U2OVGe1hqZI/AAAAAAAFe5M/fq8dPKH45qk/s72-c/MWAHER.jpg)
Wafanyabiashara DRC wahamasishwa kutumia ofisi mpya za TPA Lubumbashi
![](http://3.bp.blogspot.com/-zbQlG6oCWOc/U2OVGe1hqZI/AAAAAAAFe5M/fq8dPKH45qk/s1600/MWAHER.jpg)
Serikali ya Tanzania imesema imedhamiria kuhakikisha wafanyabiashara toka Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo wanaotumia bandari ya Dar es Salaam wanapata huduma nzuri kwa faida ya nchi zote mbili.
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe amesema wakati wa uzinduzi wa ofisi ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lubumbashi, DRC kuwa wizara yake na bandari ya Dar es Salaam watahakikisha kuwa huduma za bandari zinasogezwa karibu na...
11 years ago
Mwananchi04 May
DRC wahamasishwa kutumia ofisi za TPA Lubumbashi
11 years ago
Habarileo05 May
Tanzania yasifiwa kufungua ofisi ya TPA Lubumbashi
SERIKALI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), imesifu hatua ya Tanzania kufungua ofisi ndogo ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari (TPA), kwamba ni ya kizalendo na inayothibitisha uhusiano mzuri uliopo baina ya nchi hizo.
10 years ago
Habarileo01 Jun
TPA kuanza kuboresha huduma Lubumbashi
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema itahakikisha huduma zinazotolewa katika ofisi yake ndogo mjini Lubumbashi, zinaimarishwa kwa manufaa ya Tanzania na nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC).
9 years ago
StarTV16 Sep
Wachimbaji wadogo Kagera wapata matumaini
Wachimbaji wadogo wa madini mkoani Kagera wamesema mfumo mpya wa utoaji leseni kwa njia ya mtandao utasaidia kupunguza urasimu na kuepusha migogoro ya mara kwa mara ya umilikishwaji wa maeneo ya uchimbaji.
Wachimbaji hao wamesema kabla ya ujio wa mfumo huo walikuwa wakipata changamoto kadhaa ikiwemo kucheleweshwa kwa leseni jambo ambalo lilikuwa likirudisha nyuma maendeleo ya sekta ya madini nchini.
Uchimbaji wa madini ni moja ya sekta kubwa inayotegemewa katika uchumi wa taifa, lakini kwa...
10 years ago
BBCSwahili27 Jul
Wafanyabiashara waishtaki serikali DRC
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-SmHfEQvA8lY/VZuDp7byI_I/AAAAAAAHnbk/BjDs7ya1u_I/s72-c/lu.jpg)
ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) yazinduliwa mjini Lusaka, zambia
![](http://2.bp.blogspot.com/-SmHfEQvA8lY/VZuDp7byI_I/AAAAAAAHnbk/BjDs7ya1u_I/s640/lu.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-17Tu_-eRlg8/VZuCy1FiZDI/AAAAAAAHnbY/HFV3w_hFdY8/s640/unnamed%2B%252859%2529.jpg)
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Matumaini kwa wafanyabiashara baada ya Serikali kuahidi kuboresha mazingira
5 years ago
MichuziWATUMISHI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAPATA ELIMU YA CORONA