Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara waishtaki serikali DRC

Wafanyabiashara ya Vinyago mjini Kinshasa, wameishtaki serikali kwa kuchoma maeneo yao ya uchuuzi na kusababisha hasara.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wananchi waishtaki Serikali kwa Magufuli

Wananchi wa Tarime mkoani hapa wamempokea mgombea wa urais wa CCM, Dk John Magufuli kwa mabango yenye ujumbe wa aina mbalimbali, wakiilalamikiwa Serikali kwa kushindwa kutatua kero ambazo zimekuwa zikiwakabili kwa muda mrefu.

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyabiashara DRC wapata matumaini ofisi ya TPA Lubumbashi

Na Mwandishi wetu, Lubumbashi

Wafanyabiashara wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) wamesema wana matumaini makubwa na hatua ya Tanzania kufungua ofisi ndogo ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari (TPA) mjini Lubumbashi, jimbo la Katanga nchini humo. Wakiongea kwa niaba ya wenzao baada ya kuzinduliwa kwa ofisi hiyo hivi karibuni, wafanyabiashara hao wanaopitisha mizigo yao katika bandari ya Dar es Salaam, wamesema kuanzishwa kwa ofisi hiyo kumekuja wakati muafaka na kuwa itawarahisishia...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyabiashara DRC wahamasishwa kutumia ofisi mpya za TPA Lubumbashi

Na Mwandishi wetu, Lubumbashi
Serikali ya Tanzania imesema imedhamiria kuhakikisha wafanyabiashara toka Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo wanaotumia bandari ya Dar es Salaam wanapata huduma nzuri kwa faida ya nchi zote mbili.
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe amesema wakati wa uzinduzi wa ofisi ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lubumbashi, DRC kuwa wizara yake na bandari ya Dar es Salaam watahakikisha kuwa huduma za bandari zinasogezwa karibu na...

 

10 years ago

BBCSwahili

DRC:Familia zailaumu serikali kuwatelekeza

Waathirika wa mafuriko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanailaumu serikali kwa kuwatelekeza

 

10 years ago

BBCSwahili

Serikali yakana kuwaua waandamanaji DRC

Serikali ya jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekanusha kuwauwa waandamanaji waliokuwa wakigoma kupinga mapendekezo ya kubadilisha sheria za uchaguzi mkuu.

 

11 years ago

Habarileo

`Serikali haijatelekeza askari waliopigana DRC’

SERIKALI imesema hakuna askari wake halali, aliyepelekwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) au nchi nyingine yoyote, kushiriki operesheni ya kivita na mapigano bila kufuata taratibu.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ‘yakomaa’ na wafanyabiashara

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa pamoja na Jeshi la Polisi wamewajia juu wafanyabiashara wanaogomea matumizi ya mashine za kielektroniki za kutolea risiti za EFD kwa kuwaeleza kuwa ni lazima wazitumie.

 

5 years ago

Global Publishers

Video: Serikali Yatoa Tamko Madereva Kutekwa DRC

w1

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).

w2

Wanahabari wakifuatilia tamko hilo.
1 2

 

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yasamehe wafanyabiashara kulipa kodi

Serikali imekubali kupunguza viwango vya kodi kwa wafanyabiashara na kuiondoa kwa wale wenye mauzo yasiyozidi Sh4 milioni kwa mwaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani