Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara DRC wahamasishwa kutumia ofisi mpya za TPA Lubumbashi

Na Mwandishi wetu, Lubumbashi
Serikali ya Tanzania imesema imedhamiria kuhakikisha wafanyabiashara toka Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo wanaotumia bandari ya Dar es Salaam wanapata huduma nzuri kwa faida ya nchi zote mbili.
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe amesema wakati wa uzinduzi wa ofisi ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lubumbashi, DRC kuwa wizara yake na bandari ya Dar es Salaam watahakikisha kuwa huduma za bandari zinasogezwa karibu na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

DRC wahamasishwa kutumia ofisi za TPA Lubumbashi

Serikali imeeleza dhamira yake ya kuhakikisha wafanyabiashara wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), wanaotumia Bandari ya Dar es Salaam wanapata huduma nzuri kwa faida ya nchi zote mbili.

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyabiashara DRC wapata matumaini ofisi ya TPA Lubumbashi

Na Mwandishi wetu, Lubumbashi

Wafanyabiashara wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) wamesema wana matumaini makubwa na hatua ya Tanzania kufungua ofisi ndogo ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari (TPA) mjini Lubumbashi, jimbo la Katanga nchini humo. Wakiongea kwa niaba ya wenzao baada ya kuzinduliwa kwa ofisi hiyo hivi karibuni, wafanyabiashara hao wanaopitisha mizigo yao katika bandari ya Dar es Salaam, wamesema kuanzishwa kwa ofisi hiyo kumekuja wakati muafaka na kuwa itawarahisishia...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yasifiwa kufungua ofisi ya TPA Lubumbashi

SERIKALI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), imesifu hatua ya Tanzania kufungua ofisi ndogo ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari (TPA), kwamba ni ya kizalendo na inayothibitisha uhusiano mzuri uliopo baina ya nchi hizo.

 

10 years ago

Habarileo

TPA kuanza kuboresha huduma Lubumbashi

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel SittaMAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema itahakikisha huduma zinazotolewa katika ofisi yake ndogo mjini Lubumbashi, zinaimarishwa kwa manufaa ya Tanzania na nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC).

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi wahamasishwa kutumia matofali yanayofungamana ya udongo saruji

IMG_5589

Afisa Habari toka Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Vifaa vya Ujenzi na Nyumba Bora (NHBRA) Bw. Frimin Lyakurwa  akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa Mkutano uliofanyika Katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO).

IMG_5554

Mhandisi wa Ujenzi toka Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Vifaa vya Ujenzi na nyumba bora (NHBRA) Bw. John Twimanye akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu matofali yanayofungamana, ya udongo saruji yanayosaidia kupunguza gharama za ujenzi.wakati wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPA yahamasisha nchi jirani kutumia Bandari Dar

MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA) imezihamasisha nchi jirani kuendelea kutumia Bandari ya Dar es Salaam kwani sasa huduma zake zinaimarika kutokana na maboresho makubwa yanayoendelea kufanywa. Kaimu Meneja Mawasiliano wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafanyabiashara waishtaki serikali DRC

Wafanyabiashara ya Vinyago mjini Kinshasa, wameishtaki serikali kwa kuchoma maeneo yao ya uchuuzi na kusababisha hasara.

 

10 years ago

Michuzi

ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) yazinduliwa mjini Lusaka, zambia

 Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dr. Charles Tizeba (kushoto), Waziri wa Usafirishaji, Kazi na Mawasiliano wa Zambia, Bw. Yamfwa Mukanga (katikati) na Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Grace Mujuma wakati wa uzinduzi rasmi wa ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lusaka hivi karibuni.

Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Grace Mujuma (katikati) akifurahia baada ya uzinduzi rasmi wa ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lusaka hivi karibuni.  Ofisi hiyo ilizinduliwa na...

 

9 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara Mbeya watakiwa kutumia benki

WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya wamehimizwa kuacha tabia ya kuhifadhi mamilioni ya fedha majumbani na kwenye maduka yao na badala yake watumie benki zilizopo kuhifadhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani