Tanzania yasifiwa
TANZANIA imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kufanikiwa kukamilisha kwa kiasi kikubwa matumizi ya dijitali.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Jul
Tanzania yasifiwa kwa uchumi wa viwanda
TANZANIA imesifiwa kwa kuonesha nia ya kuelekea kwenye uchumi wa viwanda baada ya kufanya jitihada za uboreshaji wa miundombinu tofauti, ikiwemo barabara na ujenzi wa bomba ya gesi kwa ajili ya matumizi ya viwandani na majumbani.
11 years ago
Habarileo26 Jan
Tanzania yasifiwa kwa Benki ya Kilimo
PROFESA wa Uchumi anayeheshimika duniani amesifu uamuzi wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuanzisha Benki ya Kilimo. Mtaalamu huyo Profesa Jeffrey Sachs amesema kwa karibu muongo wa jitihada za dunia kuboresha kilimo katika Afrika, hakuna jambo zuri zaidi limefanyika kama uamuzi wa kuanzisha benki hiyo.
11 years ago
Habarileo05 May
Tanzania yasifiwa kufungua ofisi ya TPA Lubumbashi
SERIKALI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), imesifu hatua ya Tanzania kufungua ofisi ndogo ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari (TPA), kwamba ni ya kizalendo na inayothibitisha uhusiano mzuri uliopo baina ya nchi hizo.