JK kuzindua benki ya kilimo
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuzindua rasmi benki ya kwanza ya Maendeleo ya Kilimo nchini kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam kesho.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRais Kikwete kuzindua benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
10 years ago
Michuziwarsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar
11 years ago
Habarileo15 Jun
Benki, Suma JKT kuboresha kilimo
BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB) kwa kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa kupitia SUMA JKT, wamesaini makubaliano ya kufanya mageuzi makubwa ya kilimo cha biashara cha umwagiliaji kwenye ardhi inayomilikiwa na jeshi hilo.
11 years ago
Habarileo26 Jan
Tanzania yasifiwa kwa Benki ya Kilimo
PROFESA wa Uchumi anayeheshimika duniani amesifu uamuzi wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuanzisha Benki ya Kilimo. Mtaalamu huyo Profesa Jeffrey Sachs amesema kwa karibu muongo wa jitihada za dunia kuboresha kilimo katika Afrika, hakuna jambo zuri zaidi limefanyika kama uamuzi wa kuanzisha benki hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Wassira: Benki ya kilimo itaanza karibuni
WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, amesema Benki ya Kilimo itaanza kazi wakati wowote kuanzia sasa, ili kuwakomboa wakulima. Wassira alitoa kauli hiyo juzi wakati akifanya...
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Hongera Serikali kwa kuanzisha benki ya kilimo
SERIKALI hivi karibuni imetangaza kuanzisha benki maalumu ya maendeleo ya kilimo.
Benki hiyo inajulikana kwa jina la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Benki hiyo bado haijaanza kazi ikisubiri kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hata hivyo, imekwisha kuanza mchakato wa kutafuta wafanyakazi watakaotoa huduma.
Kwa mujibu wa serikali, pamoja na mambo mengine madhumuni makuu ya kuanzishwa kwa benki hii ni kurahisisha upatikanaji wa mikopo katika sekta ya kilimo ili...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AZINDUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI
5 years ago
Press13 Feb
Benki ya Kilimo yajidhatiti kusaidia upatikanaji wa Masoko nchini
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo Bw. Robert Pascal wakifuatilia mada wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamiria kusaidia upatikanaji wa Masoko ili kuongeza Mapinduzi yenye tija katika Sekta ya Kilimo nchini ili kuchagiza na kusaidia kuwezesha Sekta ya...