Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wassira: Benki ya kilimo itaanza karibuni

WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, amesema Benki ya Kilimo itaanza kazi wakati wowote kuanzia sasa, ili kuwakomboa wakulima. Wassira alitoa kauli hiyo juzi wakati akifanya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Karibuni wote Jumapili hii ya Februari 1, 2015 — Ibada Itaanza Saa kumi kamili 4:00EST

Bwana Asifiwe!
Karibuni wote Jumapili hii ya Februari 1, 2015 tumwabudu Mungu wetu na kusikiliza neno lake kwa lugha yetu ya Kiswahili. Kwa wale washabiki wa "Super Bowl" karibu sana, muda utazingatiwa. Mbarikiwe!www.iykcolumbus.org IYK Poster Feb 1 2015

 

10 years ago

Vijimambo

Karibuni Ibada ya Kuabudu na Kusifu - Jumapili Januari 18, 2015 Ibada itaanza saa kumi kamili 4:00pm (EST)

Ibada ya Kiswahili inakukaribisha Rasmi katika Ibada ya Pili ya mwezi wa Januari 2015Kwa Baraka za Mungu tumebarikiwa kuanza mwaka 2015 kwa Ibada mbili kila mwezi,  Ibada ya pili itaongozwa na Kuabudu na Kusifu - Januari 18, 2015 Saa Kumi kamili 4:00pm*** www.iykcolumbus.org ***

 

10 years ago

Habarileo

Wassira ataka wakulima kuchangamkia benki yao

WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven WassiraWAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika , Stephen Wassira, amewataka wakulima na wadau wa sekta ya kilimo cha mazao ya aina mbalimbali ikiwemo kahawa kuanza kujipanga kutumia Benki ya Kilimo kwa kuingia mikataba ili waweze kupata mikopo kwa ajili ya kupata pembejeo na vifaa vya kilimo.

 

10 years ago

Michuzi

warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Thomas Samkyi akizungumza katika warsha juu ya kujadili mpango wa maendeleo wa taasisi hiyo kwa miaka 25 ijayo. Warsha hiyo ilifanyika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam.Mkuu wa Mipango, Sera na Ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Francis Assenga akizungumza na wadau katika mkutano huo.Wadau wa sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji wakifuatilia warsha ya mpango wa maendeleo wa miaka 25 wa benki...

 

9 years ago

Michuzi

Mfumo wa kisasa wa kibenki kuanza kufungwa Benki ya Walimu hivi karibuni

Harakati za kuanza rasmi kwa Benki ya Walimu Tanzania (Mwalimu Commercial Bank - MCB) zinapamba moto baada ya uongozi wa benki hiyo kufikia makubaliano ya huduma ya mfumo wa kiteknolojia wa kibenki kutoka kampuni ya Intrasoft International ya nchini Luxembourg. Makubaliano hayo yaliyofikiwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki yataiwezesha kampuni hiyo kuanza kufunga mfumo unaojulikana kama ‘Profits’ utakaotumika kwa shughuli mbalimbali za benki hiyo inayotarajiwa kuanza mwezi wa Tano...

 

10 years ago

Habarileo

JK kuzindua benki ya kilimo

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuzindua rasmi benki ya kwanza ya Maendeleo ya Kilimo nchini kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam kesho.

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yasifiwa kwa Benki ya Kilimo

PROFESA wa Uchumi anayeheshimika duniani amesifu uamuzi wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuanzisha Benki ya Kilimo. Mtaalamu huyo Profesa Jeffrey Sachs amesema kwa karibu muongo wa jitihada za dunia kuboresha kilimo katika Afrika, hakuna jambo zuri zaidi limefanyika kama uamuzi wa kuanzisha benki hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Benki, Suma JKT kuboresha kilimo

BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB) kwa kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa kupitia SUMA JKT, wamesaini makubaliano ya kufanya mageuzi makubwa ya kilimo cha biashara cha umwagiliaji kwenye ardhi inayomilikiwa na jeshi hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani