Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete mgeni rasmi wiki ya elimu

 Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma  kuongoza sherehe za kilele cha wiki ya Elimu kitaifa Mei 15,2015.  Balozi wa Chini nchini Tanzania,Lu Youging akizungumza jambo na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma  kuongoza sherehe za kilele cha wiki ya Elimu kitaifa Mei 15,2015,kulia ni Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mh.Anne...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuwa Mgeni rasmi katika Kikao cha kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi

DSC_5259

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Hawa A. Ghasia akiwakaribisha wajumbe wa Kikao kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi kinachofanyika  katika ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia tarehe 01-03 Oktoba, 2014. Lengo la kikao hicho ni kuainisha Mafanikio na Changamoto katika utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa katika Sekta ya Elimu.

Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI  kwa kushirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo wameandaa kikao cha kazi kuhusu...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO SIKU YA SHERIA

Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande (Kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini mwaka 2015. Maadhimisho hayo yanaongozwa na maudhui yasemayo “ Fursa ya kupata haki: wajibu wa Serikali, Mahakama na wadau”. Kushoto ni Mh. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama. Msajili Mkuu wa Mahakama, Ignas Kitus (kulia) akizungumza akifafanua jambo wakati Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi TUZO YA JAMII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya KikweteRais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye TUZO YA JAMII itakayofanyika Aprili 13 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa tuzo hizo Gadiel Urioh, tuzo hizo zitatolewa kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Convention Center jijini Dar Es Salaam.
Utaratibu mzima wa upigaji kura umefafanuliwa kwenye video na / ama taarifa kwa vyombo vya habari hapa chini


 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa zitakazofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa katika mazoezi katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya sherehe za Kumbukumbu ya Mashujaa. Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE MGENI RASMI SIKU YA MASHUJAA.‏

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa zitakazofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa katika…

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete mgeni rasmi maadhimisho ya miaka 10 ya utumishi wa umma

01

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi Claudia Mpangala akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Kongamano la maadhimisho ya Miaka 10   ya Tume hiyo tangu kuanzishwa kwake ambapo Kongamano hilo litawahusisha Mawaziri, KatibuMkuu Kiongozi na Watendaji Wakuu kutoka katika Wizara, Idara zinazojitegemea,Taasisi na Mashirika ya Umma. Kulia ni Naibu katibu wa Tume hiyo Bi NeemaTawale.

02

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi Claudia Mpangala akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Kongamano la...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete, Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Diaspora jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora) ambao umepangwa kufanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 14 na 15 Agosti 2014.

Mkutano huo ambao umeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taasisi ya Diaspora Tanzania (Tanzania Diaspora Initiative-TDI), unalenga kuwahamasisha Watanazania wanaoishi ughaibuni wenye utaalamu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani