Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI AFURAHISHWA NA INTERCHANGE UBUNGO

   Rais Magufuli amewasili DSM akitokea Makao Makuu Dodoma hii leo, akiwa Ubungo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara za Juu katika makutano ya Barabara ya Morogoro na Sam Nujoma na kueleza kufurahishwa kwake na kazi nzuri inayoendelea.
Rais Magufuli amewapongeza Wananchi wa Ubungo kwa kupata mradi wa Barabara za Juu katika makutano ya Barabara ya Morogo na Sam Nujoma na amesema Serikali inatumia zaidi ya Tsh.Billion 240 kutekeleza mradi huo na pia inajenga Barabra ya njia 8 (Kimara -...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA UBUNGO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Nyangoma James Mama mwenye Ulemavu wa miguu msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha Maisha yake. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Mchango kwa Wananchi wengine ambapo waliahidi...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA UBUNGO WAKATI ALIPOREJEA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa hamasa pamoja na Wananchi wa Ubungo mara baada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Ubungo Darajani mara...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA JUU UBUNGO NA BARABARA, AONGEA NA KUSIKIL|IZA KERO ZA WANANCHI MBEZI MWISHO, MLOGANZILA, MLANDIZI,CHALINZE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kukagua Maendeleo ya ujenzi katika sehemu ya  gorofa ya pili ya barabara ya juu Ubungo Interchange ambayo iko katika hatua za mwisho kukamilika kwa ajili ya magari kuanza kupita. Mradi mzima wa Makutano hayo ya Ubungo umefikia asilimia 75. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng....

 

9 years ago

Michuzi

DK MAGUFULI AITEKA DAR, AFURAHISHWA KULAKIWA NA WAFUASI WA VYAMA VYOTE

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipungia mkono kuwaaga wananchi baada ya kumalizika kwa mkutano wa kampeni za CCM katika viwanja vya Shule ya Msingi Bunju  A, Jimbo la Kawe, Dar es Salaam Dk Magufuli akiondoka kwenye viwanja hivyo huku ulinzi ukiwa umeimarishwa kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Binju A, Jimbo la Kawe, Kinondoni Dar es Salaam. Wananchi wa Kata ya Mlandizi, Jimbo la Kibaha Vijijini, wakishangilia kwa furaha baada ya kumuona Dk Magufuli.
Kwa picha...

 

9 years ago

Michuzi

UBUNGO WAMPOKEA DK. MAGUFULI KWA FURAHA TELE, WASEMA DK. MAGUFULI NDIYO MKOMBOZI WAO

 Wakazi wa Ubungo wakimshangilia kwa shangwe mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli. Wananchi wakiwamtandikia apite.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AFURAHISHWA NA MIRADI YA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)

1w Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na David Shambwe Kulia Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC) na Felix Maagi Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika hilo, Wakati alipowasili katika banda la (NHC) na kukagua, Kupata maelezo mbalimbali ya shughuli za miradi inayotekelezwa na shirika hilo. Wakati alipotembelea maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) maarufu kama Sabasaba kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

UBUNGO WAMPOKEA DK. MAGUFULI KWA FURAHA TELE

 Wakazi wa Ubungo wakimshangilia kwa shangwe mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli. Wananchi wakiwamtandikia apite.

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS ZIARANI KICHAMA UBUNGO



Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ubungo  alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Ubungo leo Juni  25,2020 kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani