Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli hahitaji sifa

MWEZI mmoja tangu Rais John Magufuli, amefanya mambo mengi ambayo yamefufua matumaini ya Watanzan

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Magufuli akosoa mawaziri ‘wanaopora’ sifa za Rais

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi, Dk John Magufuli, amekosoa mawaziri na viongozi wanaojivunia mafanikio ya majukumu waliyokabidhiwa, wakati mafanikio hayo ni haki ya kiongozi aliyemteua katika majukumu husika.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MPANGO ATANGULIZA MSAMAHA WAKATI AKIMIMINIA SIFA RAIS DKT.JOHN MAGUFULI KWA UTENDAJI KAZI WAKE

*Awaomba Watazania kumpa Rais Magufuli zawadi ya NDIYO katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango ameomba msamaha ili kutoa ushuhuda ushuhuda wake kuhusu Rais Dk.John Magufuli ambapo amesema Baba huyu(Dk.Magufuli) ni kiongozi mwenye maono na uwezo mkubwa.
Aidha, ana kipaji cha hali ya juu cha kufanya yasiyowezekana na ni kiongozi ambaye anafahamu vema kuwa ili nchi ifanikiwe kuleta mabadiliko chanya ni lazima kuvunja kabisa...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli ammwagia sifa Dk. Willbrod Slaa

MTZ2NA BAKARI KIMWANGA, HANANG’ KWAANGW’

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amemsifu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na kusema ni kiongozi safi anayewapenda Watanzania.

Alisema kama Dk. Slaa, angekuwa anagombea nafasi yoyote angewaambia Watanzania ni mtu safi mwenye uchungu na taifa lake.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana katika mikutano yake ya kampeni aliyoifanya majimbo ya...

 

9 years ago

GPL

WARIOBA, WASIRA NA LIGORA WAMMWAGIA SIFA DK MAGUFULI

 Mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi kuwaaga baada ya kumaliza kufanya kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba, wilayani Bunda, Mara jana

 Watu wakiwa wamefurika kumsikiliza Dk Magufuli akijinadi katika Mji wa Nyamswa, Bunda Vijijini ambapo ameahidi kukamilisha ujenzi wa Barabara ya lami inayotoka Bunda  kwenda Nyamuswa hadi Musoma.…
...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk John Magufuli ammwagia sifa Dk Slaa Karatu

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli jana aliwahutubia mamia ya wakazi wa Karatu na kummwagia sifa aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuwa ni kiongozi mwadilifu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Bashe, Kigangwalah wammwagia sifa za urais Dk Magufuli Nzega

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mikono wananchi aqlipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni  kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabota.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda jukwaani  katika mkutano wa kampeni  kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akisalimiana na Spika wa zamani wa Bunge la...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa ammwagia sifa Rais Kikwete

Edward LowassaWAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye anawania kuchaguliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemwagia sifa Rais, Dk Jakaya Kikwete kwa kuliongoza Taifa vizuri huku likiwa bado na amani na utulivu mkubwa wakati akielekea kumaliza muda wake wa kuliongoza Taifa kwa vipindi viwili.

 

9 years ago

Habarileo

Mkapa ataja sifa za rais ajaye

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka umma wa Watanzania kutambua aina ya rais anayetakiwa kwa kusema, hachaguliwi rais wa klabu ya mpira, bendi ya muziki au chama cha ushirika, bali wanatakiwa kuchagua amiri jeshi mkuu aliye mwadilifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani