Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WARIOBA, WASIRA NA LIGORA WAMMWAGIA SIFA DK MAGUFULI

 Mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi kuwaaga baada ya kumaliza kufanya kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba, wilayani Bunda, Mara jana

 Watu wakiwa wamefurika kumsikiliza Dk Magufuli akijinadi katika Mji wa Nyamswa, Bunda Vijijini ambapo ameahidi kukamilisha ujenzi wa Barabara ya lami inayotoka Bunda  kwenda Nyamuswa hadi Musoma.…
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Bashe, Kigangwalah wammwagia sifa za urais Dk Magufuli Nzega

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mikono wananchi aqlipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni  kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabota.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda jukwaani  katika mkutano wa kampeni  kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akisalimiana na Spika wa zamani wa Bunge la...

 

9 years ago

Bongo5

Mashabiki wammwagia sifa AY kwa hili

12331683_1007956949264144_2112653779_n

Sio kila mtu mwenye moyo wa kufungua njia kwa wengine bado akaendelea kufurahia mafanikio ya waliomfuata nyuma.

12331683_1007956949264144_2112653779_n

Kwa AY ni tofauti, na ndio maana bado ameendelea kuwa msanii anayeheshimiwa zaidi si tu na mashabiki, bali wasanii wenzake pia.

Rapper huyo ambaye yupo nchini Afrika Kusini, alipost picha kwenye Instagram na Facebook akiwa amezishika tuzo za MTV alizoshinda Diamond hivi karibuni na kuandika:

Nilichokuwa nakipigania tangu mwanzo nazidi kuona matunda yake na najisikia faraja sana....

 

9 years ago

Habarileo

Ligora amzungumzia Magufuli

ALIYEKUWA Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Mohammed Ligora amesema kiongozi anayefaa kuchaguliwa kuliongoza taifa kwa sasa ni Dk John Magufuli pekee.

 

11 years ago

Habarileo

Wasira aipinga rasimu ya Warioba

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Steven Wasira ameishutumu rasimu ya katiba ya Tume ya Marekebisho ya Katiba juu ya mfumo wa muungano wa serikali tatu kuwa si maoni ya wananchi ndio maana Chama Cha Mapinduzi kinapinga mfumo huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Waraka wa Warioba kwa Wasira

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameandika waraka kumjibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira kwa kauli yake kuwa ndiye aliyemkimbiza CCM kwenda upinzani mwaka 1995.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasira: Warioba alinikimbiza CCM 1995

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira amesema mgogoro wake na Jaji Joseph Warioba uliotokana na kura za maoni ndani ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1995, ndiyo uliomsukuma kujitoa chama tawala na kujiunga na NCCR-Mageuzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba ataja sifa za rais 2015

>Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ametoa dira ya urais katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kutaja sifa za rais anayefaa kuiongoza Tanzania.

 

9 years ago

Raia Mwema

Rais Magufuli hahitaji sifa

MWEZI mmoja tangu Rais John Magufuli, amefanya mambo mengi ambayo yamefufua matumaini ya Watanzan

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli ammwagia sifa Dk. Willbrod Slaa

MTZ2NA BAKARI KIMWANGA, HANANG’ KWAANGW’

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amemsifu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na kusema ni kiongozi safi anayewapenda Watanzania.

Alisema kama Dk. Slaa, angekuwa anagombea nafasi yoyote angewaambia Watanzania ni mtu safi mwenye uchungu na taifa lake.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana katika mikutano yake ya kampeni aliyoifanya majimbo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani