Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasira: Warioba alinikimbiza CCM 1995

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira amesema mgogoro wake na Jaji Joseph Warioba uliotokana na kura za maoni ndani ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1995, ndiyo uliomsukuma kujitoa chama tawala na kujiunga na NCCR-Mageuzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wasira aipinga rasimu ya Warioba

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Steven Wasira ameishutumu rasimu ya katiba ya Tume ya Marekebisho ya Katiba juu ya mfumo wa muungano wa serikali tatu kuwa si maoni ya wananchi ndio maana Chama Cha Mapinduzi kinapinga mfumo huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Waraka wa Warioba kwa Wasira

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameandika waraka kumjibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira kwa kauli yake kuwa ndiye aliyemkimbiza CCM kwenda upinzani mwaka 1995.

 

9 years ago

GPL

WARIOBA, WASIRA NA LIGORA WAMMWAGIA SIFA DK MAGUFULI

 Mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi kuwaaga baada ya kumaliza kufanya kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba, wilayani Bunda, Mara jana

 Watu wakiwa wamefurika kumsikiliza Dk Magufuli akijinadi katika Mji wa Nyamswa, Bunda Vijijini ambapo ameahidi kukamilisha ujenzi wa Barabara ya lami inayotoka Bunda  kwenda Nyamuswa hadi Musoma.…
...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wasira aongoza mazishi ya kada wa CCM Singida

15

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula (kushoto) akiwasikiliza Wazee waasisi wa CCM kutoka mkoani Singida, Kutoka kulia ni  Sumbu Galawa, Alhaji Mahami Rajabu Kundya (ambaye ni marehemu) na  Mujengi Gwao Makamu, walipomfikishia ujumbe wao maalum, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Januari 15, 2013.(Picha na Maktaba)

Na Nathaniel Limu

Waziri Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira juzi ameongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa Singida katika...

 

10 years ago

Mtanzania

Wasira, Mwigulu nao wajitosa urais CCM

MWIGULUWASIRA muda huuHEKAHEKA za kuwania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea urais zinazidi kupamba moto baada ya makada wengine wawili, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kutangaza kujitosa katika mbio hizo jana.
Wakati Wasira akitangaza kuhakikisha analeta mageuzi mpya kwa taifa, Mwigulu ameahidi Watanzania kuumiliki uchumi.
Wasira ambaye ni Mbunge wa Bunda, amekuwa ni kada wa pili huku Mwigulu akiwa wa tatu kutangaza nia ya kuwania...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasira: Ilani ya CCM iko mbioni kukamilika

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira aliyepewa jukumu la kuandaa Ilani ya CCM kwa ushirikiano na timu ya watu 23 wa chama hicho itakayotumia kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015 hadi 2020, amejitokeza na kusema kazi hiyo ipo ukingoni kukamilika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani