Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli kupeleka walimu wa Kiswahili Rwanda

Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amepokea barua yenye ujumbe kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, iliyowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Elimu wa Rwanda Dkt. Musafiri Papias Malimba.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam, Wengine ni Balozi wa Rwanda nchini Mhe. Eugene Kayihura na Afisa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AONANA NA MJUMBE MAALUMU WA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA NA MABALOZI WA USWISI NA KUWAIT

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na balozi wa Kuwait hapa nchini Mhe. Jasem Al Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam leo...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA WALIMU



MICHUZI BLOG, JUNE 05, 2020  HABARI, IKULU,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu wakati Kwaya ya CWT ilipokuwa ikitumbuiza.Waalimu wakishangilia mara baada ya Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.  Kwaya ya CWT ikitumbuiza kabla ya...

 

5 years ago

CCM Blog

VIDEO: RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA WALIMU



MICHUZI BLOG  AT FRIDAY, JUNE 05, 2020  HABARI, IKULU,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu wakati Kwaya ya CWT ilipokuwa ikitumbuiza.Waalimu wakishangilia mara baada ya Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.Kwaya ya CWT ikitumbuiza...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AAHIDI SERIKALI KUAJIRI WALIMU 13,526 KIPINDI CHA MWAKA HUU WA FEDHA

Rais Dk. John Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, leo.

Dodoma, Tanzania
Rais Dk. John Magufuli amesema kati ya Watumishi 524,295 wa umma Watumishi 266,905 ni Walimu ambao ni sawa na asilimia 51 na kwamba pamoja na kuwaajiri walimu 22,342 katika kipindi hiki cha miaka mitano walimu wengine 13,526 wataajiriwa katika mwaka huu wa fedha.

Rais Dk. Magufuli amesema hayo leo...

 

5 years ago

Michuzi

JUKWAA LA WALIMU WAZALENDO TANZANIA WAFURAHISHWA NA KASI YA UKUAJI WA MAENDELEO NCHINI CHINI YA RAIS DK.MAGUFULI

 Katibu Mkuu wa Jukwaa la Walimu Wazalendo Tanzania Anuary Mgonde(katikati) akizungumza leo Juni 11,2020 jijini Dar es Salaam kuhusu jukwaa hilo kumpongeza Rais Dk.John Magufuli alivyosimama imara katika mapambano dhidi ya Corona.Pia Jukwaa hilo limetoa tamko la kuendelea kumuunga mkono Rais Magufuli ikiwa pamoja na kuhakikisha anashinda kwa kishindo kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu.Wengine ni Mwenyekiti wa Jukwaa hilo Mkoa wa Kilamanjaro George Madaraka (kushoto) na Mwenyekiti wa jukwaa hilo...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AFARIJIKA NA HATUAZA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO KATIKA BENKI YA WALIMU (MWALIMU COMMERCIAL BANK)

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza kufarijika kwake kutokana na changamoto zilizokuwa zikiihusu benki ya Walimu (Mwalimu Commercial Bank plc) sasa zimeanza kushughulikiwa.
Rais ametoa kauli hiyo Ijumaa Juni 5, 2020 wakati akihutubia mkutano mkuu wa uchaguzi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.“Najua chama hiki kina mali na rasilimali mbalimbali, lakini zote hizo ni mali za wanachama hivyo basi viongozi hawana budi kuhakikisha mali na rasilimali za...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI CWT SINGIDA AJIUZULU, ATOA KAULI NZITO, AWAOMBA WALIMU KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Singida, Aran Jumbe akizungumza mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho ngazi ya mkoa muda mfupi kabla ya kujiuzulu nafasi yake.
Mwenyekiti mpya wa chama hicho Mkoa wa Singida, Hamis Mtundua akizungumza baada ya kuchaguliwa.
Mtundua akijaza fomu maalamu ya uongozi. Kushoto ni Afisa Kazi Mkoa wa Singida, Boniface Ntalula.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CWT ngazi ya mkoa wakifuatilia uchaguzi huo.
Mwenyekiti mpya wa Kitengo cha...

 

9 years ago

Mwananchi

Ajira kwa walimu wa Kiswahili

Suala ya ajira linajadiliwa kwa masikitiko makubwa miongoni mwa wanasiasa, wananchi wa kawaida na wanataalamu wengi hapa nchini wakidai kuwa vijana wanaomaliza elimu ya msingi, sekondari na vyuo vikuu hawapati ajira. Kwa mtazamo  wa watu wengi, lawama  zinaelekezwa kwa viongozi wa Serikali kwa kukosa uzalendo. Lawama zinaweza kuwa ni kutokuwa na mitalaa inayolenga kuwaandaa wanafunzi kujitegemea baada ya masomo yao. Vilevile SerikaIi  kutochangamkia fursa za ajira zinazojitokeza...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU UCHAGUZI WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA CWT KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu wakati Kwaya ya CWT ilipokuwa ikitumbuiza.Waalimu wakishangilia mara baada ya Hotuba ya Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani