Rais Malawi amwalika Kikwete
RAIS Jakaya Kikwete juzi alikutana na kufanya mazungumzo na Rais mpya wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, mazungumzo yaliyofanyika katika mazingira ya undugu na urafiki.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE AWASILI MALAWI KUMWAKILISHA MHE. RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA ALIYEKUWA BALOZI WA MALAWI NCHIN
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Blantyre nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Marehemu Flossie Gomile-Chidyaonga aliyefarikii dunia tarehe 09 mei, 2014 Jijini na Dar es Salaam na anatarajiwa kuzikwa tarehe 14 Mei, 2014. Mhe. Membe anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mazishi hayo.
Balozi wa...
Balozi wa...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI KATIKA SHEREHE ZA UHURU WA MSUMBIJI
Ndege zikipita na kuchora rangi za bendera za Msumbiji jana wakati wa maadhimisho ya miaka 40 ya Uhuru wa msumbiji jana. Askari wa Msumbiji wakishuka na mwavuli wakati wa sherehe za uhuru(picha na Freddy Maro).Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Malawi Profesa Peter Mutharika wakitoka katika uwanja wa michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji baada ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya uhuru wa Msumbiji jana.
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI PROFESA PETER MUTHARIKA JIJINI WASHINGTON DC, MAREKANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika aliyemtembelea kumjulia hali kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani, ambapo wote walikuwa wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo...
10 years ago
MichuziRais Kikwete akutana na Mkuu wa Majeshi wa Malawi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Malawi Jenerali Ignacio Emmanuel John ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi na Tanzania.Jenerali Ignacio Emmanuel John Maulana(kushoto) na mwenyeji Jenerali Davis Mwamunyange(kulia) ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi Jenerali Ignacio...
10 years ago
Vijimambo18 Feb
Rais Kikwete apokea hati za utambulisho kutoka Malawi,Kuwait.Afrika ya Kusini na Kenya
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakiklisha nchi zao hapa Tanzania.Mabalozi walioziwasiliasha hati zao leo ikulu ni pamoja na Hawa Ndilowe- Malawi,Jasem Ibrahim Al- Najem- Kuwait, Thamsanqa Dennis Mseleku-Afrika ya Kusini na Chirau Ali Mwakwere- Kenya.Pichani Mabalozi hao wakiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Baliozi mpya wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Hawa Ndilowe akiwasilisha...
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE NA MKEWE WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BALOZI WA MALAWI FLOSSIE CHIDYAONGA
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete…
11 years ago
Dewji Blog13 May
Rais Kikwete atoa heshima za mwisho kwa mwili wa Balozi wa Malawi Dar Es Salaam leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere...
11 years ago
Michuzi12 May
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania