Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AIFAGILIA TAASISI YA AGA KHAN KWA KUSAIDIA MAENDELEO YA JAMII

Mzee Mwinyi akiwa ameketi meza kuu na viongozi wa Tasisi hiyo ya Aga Khan Sheikh Mkuu, Muft wa Tanzania akiingia ukumbini Makamu wa Rais wa Taasisi ya Aga Khan Tanzania, Kanal Khimj akitoa manano ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Mzee Mwinyi kuzungumza Mzee Mwinyi akizungumza "Hekima ikiongezeka Maneno yanapungua", akisema Mzee Mwinyi mwishoni mwa hotuba yake iliyojaa hekima. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti

Mbunge wa Mvomero Mh, Amos Makalla ameridhia pendekezo la wananchi kumuona Waziri Mkuu Mh, Mizengo Pinda kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita ambapo watu watatu walipoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wafugaji kulishia Mazao ya wakulima katika mashamba yaliopo bonde la mgongola.  Kutokana na hali hiyo, Mbunge huyo kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji cha Kugugu kuongea na...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AKABIDHI JEZI KWA MANAHODHA WA BARA NA VISIWANI WASHINGTON, DC


 Balozi wa Tanzania nchini Marekami Mhe. Liberata Mulamula (wapili toka kushoto) akimtambulisha Rais wa Jumuiya ya Watanzania  DMV Bwn. Idd Sandaly na baadae kusalimiana na Rais msataafu Ali Hassan Mwinyi wakati alipokua akiwasili kwenye jengo la Ubalozi wa Tanzania siku ya Jumatano April 22, 2015 kwa ajili ya kukabidhi jezi kwa manahodha wa timu ya Tanzania Bara na Visiwani kwa ajili ya mtanange utakaochezwa siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa...

 

10 years ago

Michuzi

Salam za Rambirambi kutoka kwa Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa Familia ya Marehemu Brigedia Hashim Mbita

 Nimeshtushwa sana na kifo cha Kiongozi huyu mashuhuri aliyechangia kwa dhati harakati za ukombozi wa Bara la Afrika. Nimehuzunishwa mno, mimi Binafsi, Familia yangu na nina imani msiba huu mzito sio wa Watanzania peke yao, bali ni wa Bara zima la Afrika kwa ujumla. Katika harakati za kumzika kiongozi huyo, sitokuwepo kwa kuwa niko safarini lakini nitawakilishwa na wanangu wakiongozwa na Dkt Hussein. Kwa Mola tumetoka na kwake Mola sote tutarejea. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS MSTAAFU MHESHIMIWA ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC.

 Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali Hassan Mwinyi akiambata na mama Sitti Mwinyi wawasili jijini Washington DC tayari kwa tamasha maalum la Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani.
 Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa utawala Lilly Munanka wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC, mara alipowasili hotelini.
 Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa ubalozi Edward Taji.
 Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe,...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC

 Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali Hassan Mwinyi akiambata na mama Sitti Mwinyi wawasili jijini Washington DC tayari kwa tamasha maalum la Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani. Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa utawala Lilly Munanka wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC, mara alipowasili hotelini. Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa ubalozi Edward Taji. Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe,...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi wamtembelewa balozi Mulamula

 Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti Mwinyi mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Bethesda, Maryland.  Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akisaini kitabu cha wageni Mama Sitti Mwinyi akisaini kitabu cha wageni mara walipowasili nyumbani kwa balozi  Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti Mwinyi wenye nyuso za furaha baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani