Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA ALIPOMKABIDHI DK. MAGUFULI NAKALA ZA VITABU VYA HOTUBA ZAKE

Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa (kushoto) akimkabidhi Dk. John Magufuli nakala za vitabu vya hotuba zake. Nakala za vitabu vya hotuba za Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa alivyomkabidhi Magufuli .
Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MEJA JENERALI HERMAN LUPOGO

 Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na mkewe wakiweka shada la maua katika kaburi la Meja Jenerali mstaafu, Herman Lupogo wakati wa mazishi yake katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meja Lupogo alifariki Oktoba 19 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo. 
 Mke wa marehemu akiweka shada la maua. Familia ikiweka shada la maua. Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiweka shada la maua. Mashada ya maua yakiwekwa. Heshima kwa marehemu Meja Jenerali Herman Lupogo.
PICHA...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA MKEWE CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAKE

 Picha ya pamoja ya Balozi Liberata Mulamula na Mhe. Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakiwa pamoja na marafiki zao wa siku nyingi Bi.Toyin Rose(kushoto) na mumewe.   Picha ya pamoja Mhe. Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa pamoja na mwenyeji wao Mhe. Libarata Mulamula. Picha ya pamoja na Maafisa Ubalozi
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA MKEWE CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAKE‏

 Juu na chini ni Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na msafara wa Mhe. Benjamin Mkapa wakifuatilia mzungumuzo hayo.  Juu na chini ni Balozi…

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. STEPHEN MASELE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (Kulia) akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (Kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa atuma salamu za Rambirambi kwa BAKWATA kufuatia kifo cha Mufti Issa Bin Shaaban Simba. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Mkapa, amemtumia Kaimu Mufti wa Tanzania, salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mufti Issa Bin Shaaban Simba kilichotokea Jumatatu katika hospitali ya TMJ. Katika salamu zake Mhe. Mkapa ameelezea kushtushwa kwake na kifo cha Mufti Simba ambae amemuelea kama kiongozi “aliyekuwa muadilivu,...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANDISHI WA VITABU YASIN KAPUYA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC

Mwandishi wa vitabu Yasin Kapuya akimwelezea Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ya jinsi gani vitabu vyake vinavyoweza kumkwamua mwananchi wa hali ya chini na kumfikisha juu katika kumboreshea maisha mapya. Akijitolea mfano wake mwenyewe alipoanzia shimoni Kariakoo mpaka kufika nchni Marekani na sasa kualikwa katika mikutano mikubwa ya kutoa semina ya jinsi gani unavyoweza au kampuni inavyoweza kuwa namba moja katika sekta ya biashara.Mwandishi wa vitabu Yasin Kapuya akichangia jambo na Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU,MKAPA KUWA MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI WA FILAMU “HAMU YA MAFANIKIO”

 Meneja Mkuu wa Mauzo ,Wateja Wadogo na Wakubwa wa Benki ya DCB,Haika Machaku ,akizungumza na waandishi  wa habari juu ya uzinduzi wa filamu iitwayo Hamu ya Mafanikio itakayozinduliwa siku ya Jumamosi,25 June 2015 katika ukumbi wa Cinema wa Dar Free Zone.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CONSNET GROUP LTD,Sanctus Mtsimbe. Mkurugenzi Mtendaji wa CONSNET GROUP LTD,Sanctus Mtsimbe akizungumza na Waandishi wa Habari juu wa uzinduzi wa filamu hiyo siku ya Jumamosi,25 June 2015 katika ukumbi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Mstaafu Mkapa atoa elimu ya uchumi kwa Mabalozi, maofisa na wafanyakazi Wizara ya Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb) akimpokea Rais wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa mara baada ya kuwasili Mwalimu Nyerere kwa ajili ya semina hiyo.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb) akimpokea Rais wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa mara baada ya kuwasili Mwalimu Nyerere kwa ajili ya semina hiyo.Rais Mstaafu Mkapa akiteta jambo na Mhe. Membe wakati wa semina hiyo ambapo alizungumzia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani