Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais mteule aikosoa CCM

 Rais Mteule Dk John Magufuli ameamua kufunguka kuhusu ugumu aliokabiliana nao wakati wa mchakato wa kampeni akieleza kuwa  uchaguzi wa mwaka huu umekuwa na changamoto kubwa kutokana na hujuma zilizofanywa na wanafiki waliojificha ndani ya Chama cha Mapinduzi(CCM).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UK DIASPORA YAMPONGEZA RAIS MTEULE< WABUNGE NA MADIWANI WA CCM KWA USHINDI MNONO


CHAMA CHA MAPINDUZI NCHINI UINGEREZA, WALES NA SCOTLAND "CCM UK DIASPORA" TUNATOA HONGERA NA PONGEZI KWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KWAKE KUWA RAIS WA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA BI, SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
PIA WABUNGE, MADIWANI NA WANACCM NA WASIO WANACCM WALIOFANIKISHA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUFANIKISHA USHINDI ULIOPATIKANA. UMOJA NI USHINDI, SASA ‪#‎HAPA‬ KAZI TU!

TUNAKUAHIDI USHIRIKIANO WA HALI YA JUU...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUA DODOMA, KUTEGUA KITENDAWILI CHA NANI MTEULE WA CCM KUWANIA URAIS WA TANZANIA WIKI HII

 MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiongozana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, (kulia), akiwapungia wana CCM waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Julai 8, 2015. 
Mwenyekiti huyo wa CCM amewasili na kuanza kazi mara moja ya kuongoza kikao cha kamati ya maadili ili kupokea taarifa za watia nia wa CCM, kabla ya kuanza kuwajadili na kupunguza majina kutoka 39 hadi matano, kazi itakayofanywa na Kamati Kuu ya chama hicho inayotarajiwa kukutana Alhamisi Julai...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA KWA SIMU NA RAIS MTEULE WA BURUNDI, LEO

Rais Dk. John MagufuliIkulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli amezungumza kwa njia ya simu na Rais Mteule wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kwa uamuzi wa Mahakama ya Katiba nchini Burundi iliyoagiza Rais Mteule aapishwe haraka.

Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amemtakia heri Rais Mteule Ndayishimiye kuelekea kuapishwa kwake kuwa Rais wa  Burundi kutakakofanyika hivi karibuni.

Rais Magufuli amemhakikishia Rais Mteule Ndayishimiye kuwa Tanzania itaendeleza na kukuza...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANANIA,JOHN POMBE MAGUFULI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISalamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli zimeanza kumiminika nchini, za kwanza zikiwa zimetumwa na Rais  wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Saharawi Mheshimiwa Mohammed Abdelaziz.
     Katika salamu zake kwa Rais Mteule Magufuli, Rais wa Rwanda Mheshimiwa Kagame amesema: “Kufuatia...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AMPONGEZA RAIS MTEULE DKT JOHN POMBE MAGUFULI, MAMA ANNA MGHWIRA WA ACT WAZALENZO ATUMA SALAMU ZA PONGEZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila pembe ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ampongeza Rais Mteule Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Anna Mghwira wa ACT Wazalendo atuma salamu za pongezi

j1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jana jioni Oktoba 29, 2015.

j4

j6

j7

j2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila...

 

9 years ago

Mwananchi

DK Magufuli rais mteule Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dk John Magufuli kuwa ndiye mshindi wa kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumapili ya Oktoba 25, mwaka huu.

 

5 years ago

CCM Blog

MJUE RAIS MTEULE WA BURUNDI


Evariste Ndayishimiye pumping fist in the airHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionEvariste Ndayishimiye ni mshirika wa karibu wa rais wa Burundi Pierre NkurunzizaNi matokekeao ambayo yalikuwa yanatarajiwa. Tume ya uchaguzi hii leo imemtangaza Meja Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita.Evariste atachukua nafasi ya Rais Pierre Nkurunziza mbaye ameliongoza taifa hilo la Afrika Mashariki kwa miaka 15.Watu wengi wamekuwa wakijiuliza Ndayishimiye ni nani? mwanasiasa huyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani