Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Nkurunziza ‘apinduliwa’ akiwa Dar

Dar es Salaam. Hamkani si shwari tena Burundi baada ya kuwapo kwa jaribio kubwa la kuipindua Serikali ya Rais Pierre Nkurunziza muda mfupi baada ya kuwasili Dar es Salaam jana katika kikao cha kutafuta suluhu ya mgogoro wa nchi hiyo kuhusu dhamira yake ya kuwania urais kwa kipindi cha tatu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

10 years ago

GPL

RAIS NKURUNZINZA APINDULIWA

RAISI WA BURUNDI PIERRE NKURUNZIZA Ripoti kutoka Bujumbura zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama rais wa Burundi Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi itakayotawala taifa hilo kwa kipindi cha mpwito. Kulingana na taarifa iliyopeperushwa na redio Isanganiro, serikali ya Nkurunziza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi:Rais Nkurunzinza ''apinduliwa''

Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi

 

10 years ago

Vijimambo

BURUNDI AMANI NI TETE RAIS NKURUNZINZA "APINDULIWA''

20:30 Meja jenerali Godefroid Niyombarekuwa ametangaza kufungua kwa mipaka yote ya Burundi.Rais Nkurunzinza hajulikani aliko
20:29 Kundi hilo limekanusha tangazo la Meja jenerali Godefroid Niyombare kuwa ameipindua serikali ya Nkurunzinza
20:28 Kundi la wanajeshi wanomuunga mkono Nkurunzinza wangali wanadhibiti Ikulu na kituo cha redio ya taifa''AFP''.
Ramani ya kanda ya Afrika Mashariki
20:42 Hakuna uhakika iwapo ndege ya rais Nkurunzinza itaruhusiwa kutuaWanajeshi wakitangamana na raia...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZZ......: Rais Nkurunzinza wa Burundi ''apinduliwa''

Ripoti kutoka Bujumbura, nchini Burundi zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama rais wa Burundi.
Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi itakayotawala taifa hilo kwa kipindi cha mpwito.
Kulingana na taarifa iliyopeperushwa na redio Isanganiro, serikali ya Nkurunziza imeon'golewa madarakani.
Meja Generali Niyombareh amesema wamechukua hatua hiyo baada...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Akiwa Waziri Mkuu eti wapigwe tu, akiwa rais si atasema wachinjw

MOJA  ya wosia wa Baba wa Taifa Julius Nyerere ni kutaka wanaoutamani urais wa nchi kujitokeza mapema ili wananchi wapate muda wa kutosha wa kuwatambua,  kuwafahamu na kuwajadili. Alisema hivyo...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU YA KIFO CHA RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI

Pierre NkurunzizaIkulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia kesho Juni 13, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kilichotokea Juni 09, 2020 nchini Burundi.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dodoma imesema katika kipindi chote cha siku tatu za maombolezo hayo ambayo yataanza leo, hadi keshokuwa bendera zote zitapeperushwa nusu mlingoti.

Taarifa hiyo imesema, Rais Magufuli ameeleza kuwa Tanzania inatoa heshima hiyo kwa kifo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani