Rammy Kuja na Zakayo Akiwa na Shamsa Ford
Staa wa Bongo Movies, Rammy Galis baada ya kufanya vizuri kupitia filamu yake ya Vocha anakuja na filamu yake ya Zakayo inayotoka hivi karibuni.
Kwenye filamu hiyo amemshirikisha nyota mwingine wa bongo movie Shamsa Ford,na wengine wengi,filamu hii inauhusu usaliti kwenye mapenzi, hii ni mara ya pili kwa Shamsa Ford na Rammy kufanya kazi pamoja kama utakumbuka wamewai kucheza kwenye filamu ya Chausiku inayosumbua mpaka sasa sokoni.
Wadau na mashabiki kaeni mkao wa kula.
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Oct
Shamsa Ford kuja na kampuni yake ya filamu
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
Jerusalem Films Kuja na Chale Mvuvi Baada ya Mzee wa Swaga, Hadji Adam, Shamsa Ford na Wakali Wengine wa Zanzibari Ndani!!
Mkurugezi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem Films, Jacob Stephen ‘JB’ambae pia ni muigizaji na muongozaji wa filamu, amewaeleza mashabiki wake kuwa wakae mkao wa kula kwani baada ya wiki iliyopita kuingiza movie ya Mzee wa Swaga sokoni, sasa hivi wapo katika maandalizi ya kutoa movie nyingine mwezi ujao.
"Asanteni sana wadau wa Jerusalem films kwa kuipokea vyema Mzee wa Swaga. sasa tunajiandaa kuwaletea movie nyingine inaitwa CHARLE MVUVI : Waigizaji:Hadji Adam,Shamsa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvEdJfuw1v0NazLOQEgFOQYa8GKAq1i6egmaFlfz-A9F3-4qZSGPe50-bHYYVuK2IxcTcoFEDPX9uEsh6GVkU9*-/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD: POMBE IMENIZEESHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asF*SQblaZ*F6SKKQLmrLlJHCwGXlxdzsjpYEAAlVRQ2jzIB*bWDt-lOZIloh1Ya8CmxijnhaEm4gmch2CuR8RK/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Shamsa Ford hana aibu!
Msanii wa filamu, Shamsa Ford.
Imelda Mtema
Hana aibu! Msanii wa filamu, Shamsa Ford hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutupia picha kwenye mtandao ikimuonesha akiwa nusu utupu mbele ya Wamasai walioonekana kupata mfadhaiko.
Mara baada ya msanii huyo kuiwekaN mtandaoni picha hiyo, mashabiki wake wengi walimchana kwa kuacha maungo yake wazi tena pembeni wakiwepo watoto.
Akiizungumzia picha hiyo, Shamsa alisema kuwa, aachwe avae anavyotaka kwani hakuna mtu anayeweza kumuingilia kwenye maisha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsOYm4*bfechRvW-ZTv2j2JBxhUqxGHEitlp*0jJzIQbBhNVlLVvCOfBxAyMUgT-fqjMj-RodrUZ6gjieetY7h1/SHAMSHA.jpg?width=650)
SHAMSA FORD AGOMA KUOLEWA
10 years ago
GPLSHAMSA FORD ATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
Bongo Movies03 Jun
Shamsa Ford Amfunda Aunt Ezekiel
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameamua kumfunda mwezie Aunt Ezekiel juu ya kulinda familia yake. Aunt Ezekiel ambaye amejifungua hivi kalibuni mototo wa kike aliyempa jina la Cookie, alipewa mafunzo hayo kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya Aunt kuweka picha iliyomuonesha baba wa mototo wake Moses Iyobo ambaye pia ni dansa wa msaanii wa muziki Diamond Platnum akiwa amekaa pembeni ya mototo wao akimuangalia.
Katika picha hiyo Aunt aliandika maneno”Daddy’s home sio kwa kutaka muda...
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Shamsa Ford ajivunia mapokezi ya Chausiku
MWANADADA anayetamba katika filamu ya ‘Chausiku’, Shamsa Ford amewashukuru wapenzi wake kwa kuipokea vyema filamu hiyo na kwamba anauhakika kati ya kazi zote hiyo amecheza vizuri zaidi. Akizungumza jijini Dar...