Shamsa Ford kuja na kampuni yake ya filamu
Shamsa Ford amesema anatarajia kufungua kampuni yake ya filamu baada ya kumaliza mkataba wake na kampuni ya Jerusalem Films ya Jacob ‘JB’ Stephen. Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 jana kuwa kwa sasa anaweza kusimama yeye kama yeye akiwa na kampuni yake ya kuzalisha filamu. “Kwanza kabla sijamaliza mkataba na Jerusalem Films kuna filamu mpya inatoka inaitwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies13 Mar
Rammy Kuja na Zakayo Akiwa na Shamsa Ford
Staa wa Bongo Movies, Rammy Galis baada ya kufanya vizuri kupitia filamu yake ya Vocha anakuja na filamu yake ya Zakayo inayotoka hivi karibuni.
Kwenye filamu hiyo amemshirikisha nyota mwingine wa bongo movie Shamsa Ford,na wengine wengi,filamu hii inauhusu usaliti kwenye mapenzi, hii ni mara ya pili kwa Shamsa Ford na Rammy kufanya kazi pamoja kama utakumbuka wamewai kucheza kwenye filamu ya Chausiku inayosumbua mpaka sasa sokoni.
Wadau na mashabiki kaeni mkao wa kula.
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
Jerusalem Films Kuja na Chale Mvuvi Baada ya Mzee wa Swaga, Hadji Adam, Shamsa Ford na Wakali Wengine wa Zanzibari Ndani!!
Mkurugezi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem Films, Jacob Stephen ‘JB’ambae pia ni muigizaji na muongozaji wa filamu, amewaeleza mashabiki wake kuwa wakae mkao wa kula kwani baada ya wiki iliyopita kuingiza movie ya Mzee wa Swaga sokoni, sasa hivi wapo katika maandalizi ya kutoa movie nyingine mwezi ujao.
"Asanteni sana wadau wa Jerusalem films kwa kuipokea vyema Mzee wa Swaga. sasa tunajiandaa kuwaletea movie nyingine inaitwa CHARLE MVUVI : Waigizaji:Hadji Adam,Shamsa...
10 years ago
Bongo Movies27 Apr
Shamsa Ford ndani ya burundi : Aalikwa kufanya filamu na wasanii wa huko
Mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu nchini Shamsha Ford a.k.a mama Ney wa mitego ameendelea kuiwakilisha vyema tasnia ya filamu nchini baada ya kualikwa nchini Burundi na wasanii wakubwa wa filamu nchini humo kwa ajili ya kufanya filamu pamoja nao.
Shamsa amesema kuwa filamu hiyo itawahusisha wasanii tofauti kutoka Rwanda,Burundi,Uganda Tanzania, na amewaomba watanzania wamuombee heri ili afanye vizuri kwenye filamu hiyo.
Hapo jana mwanadada Shamsa alipata nafasi ya kuongea na...
10 years ago
CloudsFM23 Jan
SHAMSA FORD:FILAMU YA ‘I HATE MY WIFE’ ILIKUWA NI NGUMU SANA KWANGU KUIGIZA,KWA SABABU YA KUIGIZA KICHAWI.
Msanii wa filamu za Kibongo,Shemsa Ford amefunguka kati ya filamu iliyompa wakati mgumu wakiwa ‘’location’ ni filamu ya I hate my wife kwani aliigiza kama mke mchawi anayemroga mumewe.
’Yaani kati ya filamu iliyonipa wakati mgumu kuigiza ni wakati naigiza filamu ya I hate my wife kutokana na kuigiza kama mchawi mshabiki walijua kuwa ndiyo tabia yangu lakini pia kuvaa uhusika wa kiuchawi ni ngumu sana’’alisema Shemsa Ford.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asF*SQblaZ*F6SKKQLmrLlJHCwGXlxdzsjpYEAAlVRQ2jzIB*bWDt-lOZIloh1Ya8CmxijnhaEm4gmch2CuR8RK/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsOYm4*bfechRvW-ZTv2j2JBxhUqxGHEitlp*0jJzIQbBhNVlLVvCOfBxAyMUgT-fqjMj-RodrUZ6gjieetY7h1/SHAMSHA.jpg?width=650)
SHAMSA FORD AGOMA KUOLEWA
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Shamsa Ford hana aibu!
Msanii wa filamu, Shamsa Ford.
Imelda Mtema
Hana aibu! Msanii wa filamu, Shamsa Ford hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutupia picha kwenye mtandao ikimuonesha akiwa nusu utupu mbele ya Wamasai walioonekana kupata mfadhaiko.
Mara baada ya msanii huyo kuiwekaN mtandaoni picha hiyo, mashabiki wake wengi walimchana kwa kuacha maungo yake wazi tena pembeni wakiwepo watoto.
Akiizungumzia picha hiyo, Shamsa alisema kuwa, aachwe avae anavyotaka kwani hakuna mtu anayeweza kumuingilia kwenye maisha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvEdJfuw1v0NazLOQEgFOQYa8GKAq1i6egmaFlfz-A9F3-4qZSGPe50-bHYYVuK2IxcTcoFEDPX9uEsh6GVkU9*-/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD: POMBE IMENIZEESHA
10 years ago
GPLSHAMSA FORD ATINGA GLOBAL TV ONLINE